Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!
 
Nashangaa huo ni usaliti gani kama angekuwa mchaga usaliti wake usingeonekana kamwe.

mbowe alihongwa milioni 20 na nimrodi mkono amuachie jimbo la musoma vijijin. mbowe amejimilikisha gazeti la tanzania daima kinyemela.. mbowe pesa za ruzuku anazitumbua dubai lakini haitwi msaliti kwa sababu ni mchaga.. zito kutaka kugombea uenyekiti wa chama anaitwa msaliti..hiyo ndio chadema
 
Vijana wengi wa Kitanzania Maoni yao hutoa kwenye Masanduku ya kura sio Instagram! Mbowe na Vijakazi wake mnalijua hilo ndio maana 2009 Mkakata Jina la Zitto, Tangu mwaka Jana Mlipiga danadana Uchaguzi wa Mwenyekiti kuogopa 'Chuki ya Vijana kwa Zitto', Leo mnaleta kura za Instagram!

Unajua 'Chuki ya Vijana' dhidi ya Zitto ndio iliyolazimisha Slaa kufuta Uchaguzi wa BAVICHA uliompa ushindi kafulila na kumfukuza Chamani kwa kudai ni Sisimizi?
 
Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!

Zito ndio kiongozi bora wa upinzani kupita wote tanzania
 
Zitto ni Mchumia tumbo tu!!! Yupo SMART kichwani lakini ni Mtu wa maslai binafsi...
 
Unaemlaumu "Mbowe" eti mnafi na mpenda madaraka basi hata zito nae hvo hvo tukumbuke kilichomtoa pale ni uenyekiti na leo kaenda kuutafuta kwa "ACT" na cha kustaajabu zaid ni pale ccm wanapomuunga mkono na wao wanadai walimuamini kama nguzo…!!! Huu ni unafiki tosha wa maccm na wakina zitti ma kimsingi zitto ni msaliti tu.
 
Mimi ni katika kundi la watu wanaomkubali sana Zitto na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wa mashujaa wangu ambaye kama binadamu ana mapungufu yake. Pia ninawakubali viongozi wengine kama Dr.Slaa na Mbowe ambao pia kama binadamu wana mapungufu yao lakini pamoja na yote haya nitaushutumu uongozi wa Chadema kwa kupoteza mwelekeo. Kifupi ni kwamba Chadema sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni Unafiki.

Chama hiki kilikuwa tuzo la watanzania wengi na wengi wetu tulitegemea sana chombo hiki kuleta mageuzi nchini lakini walipogeuka na kuanza siasa za ndani toka uchaguzi wa Bavicha ulopita, ugonjwa ule uliingia hadi ndani ya chama na chama kikapoteza mwelekeo maana adui alikuwa mwenza. Kila mtu akawa hamuamini mwenzake,majungu na vitimbi vikazaliwa kushushana wenyewe na mbinu hii waliitegengeneza CCM kiasi kwamba kutoaminiana kukaleta udhaifu ktk uongozi na hata kufikia maamuzi yaliweka ufa mkubwa.

Hivyo, ni lazima tukubali Zitto ana kipaji chake ana mvuto wake na hakika ni mmoja wa vijana ambao mimi nawatazama kwa makini sana kutokana na fikra mpya walizowajenga vijana wetu kutokubali kuburuzwa na kuweka maslahi ya nchi mbele ya Ubinafsi. Hii habari ya mtu mmoja au wawili kuua chama ni kufungashiwa kesi kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko ya kisiasa na hakika vyama vyote vya Upinzani vimekumbwa na balaa hii ya kutoaminiana kutokana na kwamba wapo baina yetu na tunakula nao sahani moja lakini walikwisha lishwa sumu mbaya ya Unafiki.
ni ngumu sana kufanya siasa za viwango hapa tz ukishindana na chama chenye hila kama ccm. Ccm ndo wanao haribu vyama vya upinzani! By the way, samahani kwa swali hili, mzee Mkandara na wewe ni miongoni mwa wale watafit wa REDET?
 
Last edited by a moderator:
Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!

Yote haya umeyajua leo Baada ya Zitto kukataa kuwa Sabufa la Wachagga kama alivo Lissu?
 
Unaemlaumu "Mbowe" eti mnafi na mpenda madaraka basi hata zito nae hvo hvo tukumbuke kilichomtoa pale ni uenyekiti na leo kaenda kuutafuta kwa "ACT" na cha kustaajabu zaid ni pale ccm wanapomuunga mkono na wao wanadai walimuamini kama nguzo…!!! Huu ni unafiki tosha wa maccm na wakina zitti ma kimsingi zitto ni msaliti tu.

very true indeed...
 
Khaa!! ZZK hana tatizo na vijana labda mibavicha iliyolewa. Tatizo ni usultani wa dr Mbowe na ulevi wa madaraka wa dr slaa. Lakini watajitambua tu. 2015 si mbali
 
Hao ni wale vijana wa bavicha wanao mruhusu Mbowe afikiri kwa niaba yao!
 
Mimi ni katika kundi la watu wanaomkubali sana Zitto na nadiriki kusema kwamba ni mmoja wa mashujaa wangu ambaye kama binadamu ana mapungufu yake. Pia ninawakubali viongozi wengine kama Dr.Slaa na Mbowe ambao pia kama binadamu wana mapungufu yao lakini pamoja na yote haya nitaushutumu uongozi wa Chadema kwa kupoteza mwelekeo. Kifupi ni kwamba Chadema sasa hivi imepoteza nuru walokuwa nayo na sababu ni Unafiki.

Chama hiki kilikuwa tuzo la watanzania wengi na wengi wetu tulitegemea sana chombo hiki kuleta mageuzi nchini lakini walipogeuka na kuanza siasa za ndani toka uchaguzi wa Bavicha ulopita, ugonjwa ule uliingia hadi ndani ya chama na chama kikapoteza mwelekeo maana adui alikuwa mwenza. Kila mtu akawa hamuamini mwenzake,majungu na vitimbi vikazaliwa kushushana wenyewe na mbinu hii waliitegengeneza CCM kiasi kwamba kutoaminiana kukaleta udhaifu ktk uongozi na hata kufikia maamuzi yaliweka ufa mkubwa.

Hivyo, ni lazima tukubali Zitto ana kipaji chake ana mvuto wake na hakika ni mmoja wa vijana ambao mimi nawatazama kwa makini sana kutokana na fikra mpya walizowajenga vijana wetu kutokubali kuburuzwa na kuweka maslahi ya nchi mbele ya Ubinafsi. Hii habari ya mtu mmoja au wawili kuua chama ni kufungashiwa kesi kwa mtu mwenye kutaka mabadiliko ya kisiasa na hakika vyama vyote vya Upinzani vimekumbwa na balaa hii ya kutoaminiana kutokana na kwamba wapo baina yetu na tunakula nao sahani moja lakini walikwisha lishwa sumu mbaya ya Unafiki.

Wewe unasema chadema imekosa mvuto, niambie ni mahali gani unaona kumepwaya na kwa sababu gani, pia umedai kuwa hakuna imani kwa wanainchi je wanamini chama gani kwa sasa. Mi naona wewe umstumwa na Zitto huna lolote.
 
kwenye nafasi ya mwenyekiti na katibu kumepwaya sana
 
Back
Top Bottom