Tuondoe na wa NJOMBE, MBEYA NA IRINGA. Yawezekana ni role model huko Kigoma.
njombe hakuna mbunge hata mmoja wa chadema,,katika madiwani 14 chadema ina diwani mmoja. mbeya mbunge mmoja, iringa mmoja..
Tuondoe na wa NJOMBE, MBEYA NA IRINGA. Yawezekana ni role model huko Kigoma.
haiwezekani pesa za ruzuku ya chadema mbowe anazihamishia dubai zzito akae kimya
Huu uzi unafurahisha sana:- Vijana wa Lumumba plus Mamluki wao ACT wanajaribu kumfagilia Zitto kwa kwenda mbele!!! Wanasahau kuwa Mavi huwa hayapuliziwi perfumes ... Namchukia Zitto sana kutokana na USALITI wake kwa Watanzania! A moment alipoteuliwa kwenye ile tume ya Madini ya Jaji Bomani Wanaharakati, wanamapinduzi walisalitiwa kwani ilikuwa ndo mwisho wa Zitto tuliekuwa tuna mfahamu! Wengi tulijiuliza ilikuwa Sinclair yule mzungu wa Mining exploration anatamba kwenye mitandao eti Rais hathubutu kureview mikataba kwani anajua balaa litakalo mkumba! Zitto alikaa kimya na hadi leo hajatupa mrejesho! Sakata la Buzwagi lilikwisha baada ya Zitto kumegewa kiasi kikubwa cha dola plus Hummer!!! Zitto kama kijana aliekuwa anaandaliwa vema alipewa nyaraka zote muhimu za kuilipua CCM kwenye wizi wa EPA, hadi Bunge linakairibia kuisha alikuwa kimya as if hakuna jukumu la kichama alilokabidhiwa! Ikabidi Dr. Slaa abebe Jukumu la kuilipua CCM ... wote mnajua jinsi ambavyo wezi wa EPA waliombwa kurejesha Masurufu as if walikabidhiwa kwa shughuli za kiofisi!!! Zitto allikuwa anatumia resources za Chama kumfanyia JK kampeni za wazi jimboni kwake! Alihakikisha kuwa Kigoma Chadema haipati Jimbo maana hata Serukamba alichakachua kwa msaada wa Zitto!!! Zitto aliwahi kuomba msamaha hapa Jamvini kwa makosa makubwa aliyowafanyia CHADEMA!!! Zitto huyu huyu alihusika 100% na ile movie ya Lwakatare akishirikiana na Nchemba, Zoka et al... Taarifa ya Uchunguzi kuhusiana na Hujuma za Zitto kabwe iliyosheheni Ushahidi wa kutosha unamfanya zitto kuwa unpopular kwa watanzania wote wenye mapenzi na nchi yao!!! Kama itawapendeza nashauri Mods waiweke hapa tuijadili kwa kina ... Zitto hasafishiki si kwa dodoki wala kwa steel wires...
Kama Mbowe alihamishia pesa Dubai, kuna BARAZA LA WADHAMINI LA CHAMA. Kama halifanyi kazi yake, Zito angetoa taarifa TAKUKURU, na nina hakika kama Zito angefanya hivyo, maswahiba wake CCM wangemwongeZEa maradafu bajeti yake ya kuiua CHADEMA.
huyo msaliti namsubiria mwakani nije nmvue rasmi ubunge.
Iam now rocking for Kigoma north
Mimi nikisikia amekufa ntaweka shereheMpaka unamuombea binadamu mwenzio kifo WEWE NI MCHAWI.
Tuondoe na wa NJOMBE, MBEYA NA IRINGA. Yawezekana ni role model huko Kigoma.
Huko njombe, mbeya na iringa mpo watatu tu msiyemkubali zito.
Ni wewe, sugu na msigwa. IQ zenu ni ndogo na ndo maana mmeamua kushikiwa akili na watu wa kaskazini... ila wanaotuunga mkono wapo wengi sana huko.
Ukombozi wa pili soon unakuja baada ya kuvua gwanda na kuvaa uzalenda.
fisadi ni mbowe alieuzia chadema fuso mbovu kwa milioni 600
Mimi simpendi Zitto. Akafie mbele na usaliti wake
Khaa!! ZZK hana tatizo na vijana labda mibavicha iliyolewa. Tatizo ni usultani wa dr Mbowe na ulevi wa madaraka wa dr slaa. Lakini watajitambua tu. 2015 si mbali
kwenye nafasi ya mwenyekiti na katibu kumepwaya sana
Zitto alikosea kuwaamini kina Kitila Alipaswa kuamini akili yake watu walimshauri vibaya kwa maslahi yao
Kabisa mkuu nimeshangaa sana kusikia huyu mzushi anasema eti vijana wanahasira na zitto.
mbowe alihongwa milioni 20 na nimrodi mkono amuachie jimbo la musoma vijijin. mbowe amejimilikisha gazeti la tanzania daima kinyemela.. mbowe pesa za ruzuku anazitumbua dubai lakini haitwi msaliti kwa sababu ni mchaga.. zito kutaka kugombea uenyekiti wa chama anaitwa msaliti..hiyo ndio chadema