Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Vijana wengi wana hasira na Zitto Kabwe

Kumjadili zzito ni sawa na kujadili maiti iliyo mochwari irudi kwenye hali ya uzima!
Ninahasira naye huyu msh€*nzi hadi najiogopa!!!!????
to

'Aliezoea kula nyama za watu hawezi kuacha hata siku moja'-Mwl JK Nyerere. Hata Chacha Wangwe hayupo leo kwa kuwa mlikuwa na Hasira nae na bahati mbaya alichelewa kuwapiga biti la kusambaratisha mpaka Panya wenu maana mngeogopa kufanya mliyofanya.
 
Labda vijana mataahira wa huko kwenu ,lakini vijana wa tanzania tunampenda sana zito.. ZITO NI JEMBE

Nyie pro-CCM ndio mlonifanya nimchukie Zitto,kwanza nilijuliza iweje "wala maokombo" wa CCM wamuunge mkono mpinzani wa kweli? za kuambiwa nikachanganya na zangu....kumbe ukweli ukajafahamika! Kafie mbali Yuda Zitto!
 
zito anapendwa na watanzania wote wa vyama vyote vya siasa tanzania.. mwingine anaependwa ni kafulila
 
Laki si pesa@ zitto kapendwa na vyama vyote…!! Sema kapendwa zaid na CCM kama wanavyompenda MREMA na kumnadi kuwa ndio mpinzani wa kweli na ujinga wenu!
 
Laki si pesa@ zitto kapendwa na vyama vyote…!! Sema kapendwa zaid na CCM kama wanavyompenda MREMA na kumnadi kuwa ndio mpinzani wa kweli na ujinga wenu!

zito anapendwa na vyama vyote.. na watanzania wote wake kwa waume
 
Wewe unasema chadema imekosa mvuto, niambie ni mahali gani unaona kumepwaya na kwa sababu gani, pia umedai kuwa hakuna imani kwa wanainchi je wanamini chama gani kwa sasa. Mi naona wewe umstumwa na Zitto huna lolote.

1) Tangu Zitto kaondoka mmeanza kushirikiana na mliowaita CCM B eg CUF na NCCR,

2) Kila uchaguzi mlioshiriki baada ya Zitto kuondoka kura zenu' Zimeibiwa' e.g Kalenga, Chalinze na zile Kata 24,

3) Sabufa la Mbowe (Lissu) Haishi kumporomoshea Matusi Mwl Nyerere Bungeni eti aliongoza nchi kwa Usanii na Uongo uongo!

4) Mmewatoa Bungeni wanabunge wenu wasijadili Matatizo ya Wakulima, wafugaji na walalahoi kwa kuwa tu CCM imekataa kuongeza Idadi ya serikali.

5) Kwa Mara ya kwanza Tangu Dunia kuumbwa Vyama vya Upinzani kikiwemo Chadema kinamshinikiza Rais avunje katiba kwa kuvunja Bunge la Katiba huku wakijua kabisa kuwa sheria waliyotunga na wao wakiwemo hakuna kifungu walichmpa Mamlaka ya Rais kuvunja Bunge la Katiba eti Otherwise wataandamana japo sasa wameufyata baada ya kuona wamekosea.
 
Hakuna mvivu wa kufikir laki si pesa# munamuita mwanasiasa wa kweli zitto kwa kumpa sifa kibao, tushajifunza kwa mrema nae anafuta nyayo hizo hzo
 
Last edited by a moderator:
Zitto yuko sahihi kabisa, na watanzania wengi bado tuna imani naye!

CHADEMA wanamtenga kwa ajili ya dini yake na kabila lake, pia kwa ajili ya misimamo yake isiyoyumbishwa!

BAVICHA wengi hawampendi Zitto kwa sababu wanafuata mkumbo wa viongozi wao!

Jibu hilo ni sahihi kutolewa na mtu kama wewe.
 
Hakuna mvivu wa kufikir laki si pesa# munamuita mwanasiasa wa kweli zitto kwa kumpa sifa kibao, tushajifunza kwa mrema nae anafuta nyayo hizo hzo

tanzania tunahitaji wanasiasa makini kama zito..mzalendo wa ukweli
 
Last edited by a moderator:
Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!

Mate!huo unaofanya ni upum.bavu , hujawahi kusoma na zitto, acha kujipaisha wadanganye hao hao wasiokujua alafu acha kupenda sifa?. Zitto alimaliza lini na sie tulimaliza lini? Unaokoteza stori humuhum jf Leo unasema umesoma na zitto, ni us sharifs au kutumika tu rafiki? Any way inawezekana umesahau but ngoja nikukumbushe Leo. Zitto unaejifanya kumjua hapa alituacha miaka 4 tulikua tunasikia tu habari zake.
 
pole sana, zito amegusa maslahi ya wachagga

sijisifii kwa kabila kutokana na ugogo wangu bali nakemea wasaliti wote na walafi wa matumbo yao kama zzito.
Zzito alikuwa wa mfano hata mimi alinivutia kisiasa lakini nilipopata ukweli mimi mwenyewe kuanzia hiyo siku ninamuombea hata kif¤.
 
pole sana mangi,, watanzania funampenda sana kijana mzalendo zito kabwe, kiboko ya mafisadi
 
Zito mpuuzi tu., anaanzisha story zenu anakauka mwenyewe Mara waziri mkuu ajiuzulu Mara mabilion ya uswisi.. Zito anapenda cheap popularity.. Nyie jamaa zake zito mkamshauri Aache yafuatayo...ubinafsi,kujiona, kununulika, kiongozi yeyote bora hawez kujiona bora kuliko wenzake... Zito wewe Ni mnafki Sana., nakutabilia utakufa kisiasa 2015..Zito unakumbuka chuo ulipokuwa mwaka wa mwisho mkataka kimwingiza mpz wako awe rais wa chuo..aliposhindwa mkaanda maandamano makubwa kumpinga rais wa chuo ili demu wako apate urais...!

Utapasuka kijana,,zitto mmoja sawa na akina mbowe 100000,,lisu 1000 mlemavu slaaa 200000,,kilaza mnyika 60000!!!zwazwa wewe
 
mkuu, wachaga wakisikia jina la zito wanatetemeka, mpaka wanashindwa kunywa mbege, zito amewashika pabaya

Ndo kuishiwa hoja au nini tumia akili yako hata kama unalipwa kwa ku post upuuzi acha ukabila ndo defence mechanism yako ya kihoja inaonyesha hupati usingizi ukisikia wachaga we ni janga hata kwa kizazi chako mxiiiiiiiiiew
 
Mkuu Nyakageni, nimecheka sana aisee!! Ila una ujasiri sana Mkuu!! Ila haka kajamaa sikuwahi kudhani kangetusarti aisee!! Kamehongwa mihela weeee.... Sasa hivi kako kimyaaa utadhani hakapo!!

Labda nikuulize Mkuu Nyakageni, unadhani Zitto angekuwa bado ni CDM,(sio wa mahakama) kwenye huu mgomo wa UKAWA angeshiriki kugoma au angeungana na Shibuda?
 
to

'aliezoea kula nyama za watu hawezi kuacha hata siku moja'-mwl jk nyerere. Hata chacha wangwe hayupo leo kwa kuwa mlikuwa na hasira nae na bahati mbaya alichelewa kuwapiga biti la kusambaratisha mpaka panya wenu maana mngeogopa kufanya mliyofanya.

haogopwi bali anadharauliwa sana na wale anaopambana nao maana siyo level yao kwa mustakabali bora wa chadema.
Eti watetezi wake walikuwa ni akina makamba jr,nape,mwigulu,ritz one???,
 
Back
Top Bottom