kuogopa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. green rajab

    Israel wanaishi kwa mashaka kuogopa kwa kipigo toka Iran

    Israel imeamua ku jamming GPS kuogopa kipigo toka Irani cha Missile na Drone za mauaji. Wamesahau kua Irani anatumia GLONAS ya Mrusi ambayo inapenya popote Wakati huohuo Magaidi wa Kizayuni wamefungua mahandaki na kuingiza familia zao zisije kuchakazwa.... ⚡️BREAKING Israel has jammed GPS at...
  2. The Evil Genius

    Makonda: Wafanyabiashara huichangia CCM kwa kuogopa wasiletewe TRA, TAKUKURU, uhamiaji ama Polisi

    Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi. Msikilize mwenyewe. --- Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
  3. MoneyHeist4

    Mwenzenu nimeyatimba

    Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote. Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo...
  4. K

    Hofu ya CHADEMA ni kuogopa kusahaulika na sio kushindwa, kuratibu maandamano ni kuonesha uwepo wao. CCM fanyeni haya....

    Tofauti kubwa ninayoiona kati ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani mfano ACT Wazalenda ni kwamba CHADEMA wanaogopa kusahaulika na ACT wanaogopa kushindwa. Hofu hizo ndio zinazoendelea kuutafuna upinzani mpaka mifupa. Kitendo Cha CHADEMA kuambulia mbunge wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti...
  5. Webabu

    Askari wa Israel wajificha nyuma ya mpalestina kuogopa kushambuliwa. Wamuomba awaokoe dhidi ya hasira za wenzake

    Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa. Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
  6. Smart Contract

    Tuwe makini na pombe, zinaua

    Wasaalam, mnamo mwaka jana X Mass nilikunywa sana mpaka ikanipelekea kupata ulcers hivyo 25/12 na 1/1 ziinikuta kitandani naugumia maumivu nikajiapiza naachana na mipombe kali. Lakini nilivyopata nafuuu nikarudi tena. Mwaka huu juzi 25/12 na 1/1 nazenyewe nimezilia kitandani the same case kama...
  7. Webabu

    Marekani: Wafanyakazi San Francisco watakiwa kufanyia kazi majumbani kutokana na kiwango kikubwa cha uhalifu

    Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine. ======= Hundreds of employees at...
  8. kmbwembwe

    Wanasheria upande wa mafisadi ni wa kuogopa kama ukoma

    Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii. Siku moja tu imepita tumewasikia wanasheria wizara ya ujenzi na uchukuzi wakiwa na waziri wao wakijaribu kutetea uamuzi wa serikali kutaka...
  9. Webabu

    Kioja cha Tanzania kuogopa Waarabu kimetoka wapi?

    Kwa namna zote inaonesha wapinzani wa mkataba wa DP world hawana hoja zaidi ya kwamba huo mkataba wa uwekezaji mkubwa unahusisha nchi ya kiarabu. Inashangaza kwamba mikataba kama hiyo ilikwishafanyika nchi za jirani na Tanzania miaka kadhaa iliyopita na hakukuwa na kelele. Kama kuna nchi...
  10. NetMaster

    vijana wengi wakristo kuogopa na kuchelewa kuoa hadi wafike 30+, zinaa inaepukika ?

    Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa. Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama; Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali. Kwenye ndoa za kikristo ni...
  11. Justine Marack

    Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  12. Suzy Elias

    Bashiru (Oct 12, 2018): Madalali wa mali za umma hawawezi kupendezwa na mijadala ya kujisahihisha

    '....Mijadala itatufanya tujisahihishe tulipojikwaa na msitarajie madalali wa mali za umma watafurahishwa na mijadala ya aina hiyo.' Bashiru - 12 Oct 2018
  13. Webabu

    Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

    Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi. Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia...
  14. M

    Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  15. Meneja Wa Makampuni

    Tunahitaji wagombea binafsi Ubunge ili wawe huru kutoa mawazo yao Bungeni. Waliopo wanapigania maslahi ya vyama vilivyowapa dhamana

    Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu. Naomba kunukuu "Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama". Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
  16. P

    Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  17. Zitto

    #COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive. Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena. Nawaomba muendelee kuchukua...
  18. TheChoji

    #COVID19 Waoga wa Sindano: Mikakati gani tutumie kuchanjwa?

    Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
  19. Red Giant

    #COVID19 Walitumia nguvu kubwa kuwatisha watu juu ya chanjo, leo wanashangaa wananchi kuogopa chanjo

    Toka chanjo imetoka, serikali chini ya Magufuli imekuwa inaweka hofu kwa wananchi juu ya usalama wa chanjo. Rais alisema waziwazi kauli za kupinga chanjo. Alisema kama wazungu wanaweza kutengeneza chanjo basi wangetengeneza chanjo ya UKIMWI. Watu kama Kigwangalla wakatoa kauli kupinga chanjo...
  20. GENTAMYCINE

    Baada wa Watendaji wa Serikali za Mitaa Kawe 'Kutimka Mbio' Kuogopa 'Chatu' aliyeko katika pori la Chuo cha Tiba Lugalo msaada unahitajika

    Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimethibitishiwa na Mamlaka ya Ofisi za Serikali ya Mitaa Kawe na Mtendaji Mwandamizi kutoka Jeshini Kambini Lugalo kilipo Chuo chao cha Tiba cha MCMS ni kwamba kuna uwepo wa Chatu mkubwa kiasi cha Kutishia Maisha ya Watu. Kwa takribani Siku tatu zimepita Wakazi wa...
Back
Top Bottom