NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,855
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33.
Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa.
Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25.
Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza ambalo wanaume huofia kuingia kwa kuwekewa vizuizi ambavyo kinadharia vinasomeka lakini kiuhalisia ni ngumu kutendeka.
watu wazima wakifunga ndoa kifo pekee ndio kiwatenganishe ama waanze kupoteza muda wao kuandaa mafumanizi ili wapeleke ushahidi huo kuvunja ndoa, nini kama sio ujinga hiki?
Umepata binti huko umemchunguza mwaka mzima na kuona ana tabia njema kumbe anakuchezea bongo mubi tu, umeingia kwenye ndoa ndio anayatoa makucha yake, ukitaka kumuacha dini yakuktaza wanakwambia umvumilie, huko mahakamani mlolongo mrefu na hata ukija tena kuoa dini yako haitafungisha hio ndoa.
Umeoana na jitu zima ni lichawi unaambiwa hairusiwi kuachana?
nyumbani kila siku ni vurugu hakuna amani tena unaambiwa eti uvumilie?
mtu hajui tena wajibu wake anakunyima unyumba hiki ni nini kama sio kumlaziisha mtu azini nje ya ndoa??
Mmeoana tangu upi 30 hadi 40 hakuna mtoto unakatazwa kuzalisha kwengine, nini hiki?