Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

Ingekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,

Nashukuru sana nimetoa vitoto vyeusi,
Wewe unapenda weusi unahakika gani hao watoto wako nao wataupenda huo weusi.?
 
Mbona maelezo haya bado hayatoshi kuwa sababu ya kujichubua? Mkuu acha kujichubua usitafute kichaka
shhhh, usiseme kwa sauti
JamiiForums341799803.jpg
 
Ewaaah... Mwanaume mweupe anaringa na bado wanawake watajisogeza maana wanajua kabisa ukiachana na mwanaume mweupe haichukui muda wanawake wanajiweka.

Hili nina ushahidi nalo kuanzia primary hadi chuo nimekuwa nikibabaikiwa sana na wasichana kwasababu ya weupe tu.

Na kiburi ninacho kweli lakini ntabembelezwa weeee hata kama kosa langu.

Ukweli mchungu tuache kujifariji maana kuwa mweusi tu inaonekana kama ni laana hivi. Yaani kama binadamu wa nyongeza tu.
Mmmmmmh hapana
 
Ingekuwa amri yangu wangewekwa ndani wote kina vyeupe wanaongeza bure idadi ya wanaume wakati hatuna kazi nao, kiukweli mwanaume mweupe kwangu naonaga kinyaa nafsi hupoa km nimemwagiwa barafu,

Nashukuru sana nimetoa vitoto vyeusi,
Hahahaa ht mm wametoka color yangu brown...khaa
 
Ndo mnavyojipaga moyo hivyo ila hata ujifariji ukweli upo pale pale mwanaume mweupe anapendwa sana na wanawake na ndo maana mwanaume mweupe akimtongoza msichana mweusi huyo msichana anakuwa haamini kama kweli ni yeye amepata bahati yakutongozwa.

Ukweli upo wazi wanaume weusi hawajiamini ndo maana wanajikoboa kila siku wawe angalau na kaweupe fulani avutie wasichana.
Jidanganye, mwanaume mdark ndio mpango mzima. Wanaume weupe mmekikaa kimama mama. Pole lakini.
 
Back
Top Bottom