Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
😇😇Tall dark guys tunapendwa balaa yaani. Sijawahi kutamani kuwa mweupe hata siku moja
😇😇Tall dark guys tunapendwa balaa yaani. Sijawahi kutamani kuwa mweupe hata siku moja
Mm masuala ya kutemwa hayapo kwa kamusi yangu..!haipoNdo maana hoja yako kuu ni kwamba wanaringa ingawaje kiuhalisia unawapenda kuwa nao ila shida unahofia kuwekwa kando muda wowote.
Ujue mwanaume mweupe anaweza kumtema demu mkali na asiumie badala yake ataumia demu. Hii ni kwasababu anajiamini kumiliki demu mwingine mkali zaidi pasipo gaharama yoyote.
Linishike vipi mzee wakati hapa nachagua yupi wakumtafuna najichagulia tu.dizaini limekushikaaa..easy mzee
Faraja husaidia kuongeza muda wakuishi. Endelea kujifariji mkuu najua ili mwanaume mweusi amvutie mwanamke sharti awe vizuri kiuchumi otherwise utaishia kuita warembo mashemeji tu.Tall dark guys tunapendwa balaa yaani. Sijawahi kutamani kuwa mweupe hata siku moja
Inaonekana hawana direction...wanakutegemea wewe uwape hata ya mafuta...hapo ni sawa..endelea kuwaburuza bossLinishike vipi mzee wakati hapa nachagua yupi wakumtafuna najichagulia tu.
Huwa namwambiaga demu wangu nikikuhitaji kwa sex ukazingua basi nachukua demu mwingine aka replace nafasi kwa muda.
Hapo nakuwa namchanganya anaweza kunipa hata akiwa period.
Na hii sio kwa demu mmoja bali ni demu yeyote ninayekuwa naye. Hadi wakati mwingine nakaa nawahurumia jinsi ninavyowaburuza kama watumwa vile.
Upo sahihi kabisa mkuu hata mie nimekutana na hali hiyo.Nmekutana na madem zaid ya 8 wanataka mimba wapate watoto white. Nakataa tu.
Mimi niwekee hapa mwanaumr mweusi na mweupe naenda kwa mweusi...
Mimi binafsi men akiwa anamaringo nahisigi ana hormonal imbalance! Am sorry
Haaahhaa hawajiamini hata nukta aise..dah...katokwa povu balaaUmeona wanaume weupe wanavoandika ndio utawajua sasa mfano wao ni cmp
Heee hii kaliNdo mnavyojipaga moyo hivyo ila hata ujifariji ukweli upo pale pale mwanaume mweupe anapendwa sana na wanawake na ndo maana mwanaume mweupe akimtongoza msichana mweusi huyo msichana anakuwa haamini kama kweli ni yeye amepata bahati yakutongozwa.
Ukweli upo wazi wanaume weusi hawajiamini ndo maana wanajikoboa kila siku wawe angalau na kaweupe fulani avutie wasichana.
Na wale wasiojiamini sasa ndo wanaponda wanaume weupe. Wanaume weupe wana mvuto flani kwa wanawake. Na wanawake wanaamini pamoja watazaa watoto weupe pia.Upo sahihi kabisa mkuu hata mie nimekutana na hali hiyo.
Wanaume weupe wanapendwa mno na mademu wengi wakiwa na wanaume weupe muda wote ni roho juu juu kuhofia kuibiwa.
Haaahhaa hawajiamini hata nukta aise..dah...katokwa povu balaa
AiseeFaraja husaidia kuongeza muda wakuishi. Endelea kujifariji mkuu najua ili mwanaume mweusi amvutie mwanamke sharti awe vizuri kiuchumi otherwise utaishia kuita warembo mashemeji tu.
Ajabu sana mwanaumr kujisifia mzuriKabla jua halijazama umejionea wanajiita wazuri
Umekutana na wanawake au visichana vichache mkuuNa wale wasiojiamini sasa ndo wanaponda wanaume weupe. Wanaume weupe wana mvuto flani kwa wanawake. Na wanawake wanaamini pamoja watazaa watoto weupe pia.
Wanafurahisha sanaAjabu sana mwanaumr kujisifia mzuri
Kuwa mbaya nayo ni sifa?Kabla jua halijazama umejionea wanajiita wazuri