Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).
Ndoa inafanya akili ya mwanaume itulie[emoji23][emoji23][emoji23]Wale wale ndio mnavosemaga hivi, eti oa utapata maendeleo.
Ingekua ni rahisi hivo watu wangekua wameendelea sana
MhhhLikizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).
Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa.
Kuna wale mabraza wa mtaa.
Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home.
Na mabraza wengine naokutana nao njiani huko nikiwa kwenye mishe za mjini.
Sasa bana mabraza wote Wana "ujinga" fulani hivi unaofanana wa kuuliza......
1. Umeoa
2. Utaoa lini?
3. Kwanini mpaka leo hujaoa?
Yaani Wana maswali yakiwaki na ya ajabu balaaa. Ni vile tu busara huwezi kupanick au kuwajibu hovyo. Sijui hudhani kuoa ndio mafanikio.
Hivi nyie mlioa HUWA MNAJIKUTA NDIO MNAAKILI, Yaani kwa kuwa MMEOA basi ndio MMEPATIA MAISHA?
Yaani unakutana na mtu K.koo, hamjaonana miaka. Badala muongelee madili ye "Ni maswali ya kiwaki ya kuoa tu"
Kuna mmoja nimemjibu mbaya, maana kusema kweli alizidi, na moyo ukashindwa kuvumilia maudhi.
Shangazi alimuita nyumbani aje weekend. Braza akaja na mkewe.
Huyu braza ye kila point of meeting ya familia, iwe msosi, maombi, sebuleni tu tunapiga story ye ni "Mr. Liverpool uoe" alianza ijumaa yotee, mara jumamosi yotee akaendeleza ujinga wake.
Ilipofika jumapili nikaona huyu sasa anazidi nilimpa jibu moja tu, Hakuendelea Tena na uwaki wake.
Halafu nyie mabraza kinachoshangaza, mnataka tuoe michepuko yenu.
Yaani zile mbunye ambazo mnazisugua, na kulala nazo ambazo ni michepuko yenu NDIO MNATAKA TUOE SISI?
Yaani sisi tuoe residual zenu?
Yaani mko na demu halafu mnamwambia "Tuendelee kunyanduana halafu ukipata mtu wa kukuoa tutaachana"
Hivi ma "single boy" wenzangu mnaelewa hili?
Mabraza eeeh PUNGUZENI MAMBO YA KIWAKI.
Tukikutana hebu tuongelee madili kama huna cha maana si tuongelee basi Simba juzi kubebwa kwenye shirikisho.
Nimekupa taarifa Niko Dar, niite bar tuje kuongea madili.
Nipe dili la kwenda Iringa maporini nikukusanyie mirunda uje kununulia Iringa mjini uniachie pesa.
Nipe dili niende Mtera nikakutafutie samaki uje kuuza kwenye mgahawa wako.
Kifupi kama kweli unajali maisha yangu basi NIPE DILIIII niingize pesa na sio kunikomalia na maswali ya ajabu.
Mambo ya kukutana halafu we huna la maana zaidi ya "Utaoa lini" ni UZUZU huu aiseee.
Mnazingua balaa. Nina hasira balaaa. Hatupendi maswali yenu ya KIWAKI.
Tuendelee kutafuta hela
"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"
#YNWA
.......... ????
Kwenye maisha kila mtu ana njia yake ya kupitia.Ukiona hili Swali la Unao Lini Linakuumiza...!
Basi Ujue Muda Wako Wa Kuoa UMEFIKA ...Ila sasa lakini Umekaza Shingo unajiambia 'Mi Bado Mtoto'...! Mtu akikukumbushia tu Kile Unachotakiwa Kukifanya Unaumia saana...! Saikolojia ndogo hiyo ...!
Itafikia Mahala Ukiona Couple tu...Utakuwa Unachemka Kwa Hasira.
Ngoja nikukere kidogo ...Hivi We Baba Unaoa Lini ?
Ur Wellcome.
Trust me SIJAOA.Ujinga ni kuamini huyu jamaa hajaoa au hana mke kumbe ana mke na watoto na wana enjoy ndoa ila hapa jukwaani anajifanya mwenyekiti wa wasioa.
PointAnaekupenda atakushauri njia impendezayo Mungu.
Kwenye ndoa kuna mazuri na matam sana. Tusizoee kuangalia tu the negative side kisa ndoa nyingi hazidumu.
Wewe kamata ka Karucee kako kadogo dogo kaweke ndani sema mie sitafeli katika hili.
All the best LVP.
Mh! Mkuu hebu angalia vizuri uliemtag na alieanzisha uzi..😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahwanaotaka kuolewa ni wengi, na wanaotakiwa kuoa hawataki kuoa, na wanawake wanazidi kuongezeka kila kukicha, ukizingatia idadi ya wanaume ni chache sana.
Na kwenye hio idadi chache ya wanaume, toa mapunga, toa wasio taka kuoa, toa waume za watu, tukiwatoa na vibamia ndo kwishe kabisa.
Kwa hali hiyo, wanawake mtaolewa na nani? Wanawake nawaonea huruma kazi mnayo, pambaneni na hali zenu.
Naunga mkono hoja ya mleta mada.
Nakazia hapa, [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Ndoa haina faida yoyote kwa mwanaume anaeamini ukweli halisi wa maisha
“ born alone, die alone “
Haya nyie mnaohangaika na ndoa na watoto miaka mia tano ijayo mtakua wapii?
Hakuna kuoa na hakuna kuzaa!
I’m my own company.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanakera mnoo lolHapa huwa tunaenda pamoja sana,,, Hii akili yako ya hivi naipenda sana.
Tena muwazabue makofi tyuuh. Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuulizwa tu sioni shida.. ishu ni pale mtu anaanza kukusimanga, mara ooh unakosa baraka za kwenye ndoa, ooh usichague sana, ooh magonjwa mengi.. hapo natamani hata nimtie vibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh! Mkuu hebu angalia vizuri uliemtag na alieanzisha uzi..[emoji3]
Kwa kanuni ipi? Let's andiko lako hapa lilnaloonesha n lazima.Kuoa ni lazima, acheni kudanganyana.