mwanamke hatakiwi kuwa mwenza, anatakiwa kuwa msaidiziKuoa ni wajibu unao mpa mwanamke faida na kumudidimiza mwanaume.
Wewe utamfanya msaidizi lakini yeye akili yake anajua ni 50/50.mwanamke hatakiwi kuwa mwenza, anatakiwa kuwa msaidizi
ukimfanya mwenza umekwisha
WAKORINTO 7:1-9Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Uhusiano hapa ni wa mtawala na mtawaliwa
Mnaokataa kuoa, tutawapeleka Ukraine mka deal na PutinKuoa ni wajibu unao mpa mwanamke faida na kumudidimiza mwanaume.
Sasa mwanaume unaogopa changamotoNdugu au washikaji walivyo wa ajabu,Watakushauri uoe.Utaoa.watakupongeza Kwa hongera nyingi sana.Siku uanze kupata mauza uza na changamoto nyingine.Jaribu kuwa shirikisha.Huto ona hata mtu mmoja.Watakujibu tu.Huo ndo uanaume,Pambanamuda huo wako kwenye miji yao
.
Watu wa bara mnaongoza kwa wivu wa mapenzi halafu kuoa hamtakiWatu wa pwani hayo ndio maswali yao
Inshu sio changamoto,inshu ni changamoto za kujitakia.Changamoto hazikwepeki Kwa mwanaume kwenye kuishi,kazini mpaka kwenye biashara.Hizo zinatosha.Sasa mwanaume unaogopa changamoto
Komaeni kwanza na ndoa zenu.Mkimaliza kukomaa.Ndo mpate muda wa kupeleka watu UkraineMnaokataa kuoa, tutawapeleka Ukraine mka deal na Putin
Nilitamani nichangie lakini niliposoma background yako bora nisichangie kwani unahitaji tiba ya moyo na nafsi.Heeeh tenaa?
#YNWA
Huo utani unauma kama ngumi za usoniMara nyingine unakuwa ni utani tu anakuuliza ili muendelea na story
Bunge lipitishe sheria, wasiotaka kuoa wote wapelekwe kwenye makambi ya JKTKomaeni kwanza na ndoa zenu.Mkimaliza kukomaa.Ndo mpate muda wa kupeleka watu Ukraine
Una matatizo makubwa sanaTangu nilipooa 9 yrs ago ukaribu na washikaji ambao hawajaoa ulipungua sana na wengine uliisha kabisa,wakabaki wachache ambao tunakutana sehemu za utafutaji.
Nikikutana na jamaa yangu ambaye hatujaonana muda,lazima tu nitamuuliza vipi family hawajambo?akisema tu hajaoa basi ni bora zaidi tukazungumzia mpira na siasa tu kwa uchache hakuna habari nyingine.
Huko tumetoka kitambo SanaBunge lipitishe sheria, wasiotaka kuoa wote wapelekwe kwenye makambi ya JKT
enzi izo Kwa mjibu wa sheria 835 kj ko itakuwa fuuuresh tu