Vijana waliooa wanakwaza sana

Vijana waliooa wanakwaza sana

Kwamba ili ukomae unatakiwa kuoa?
Kwamba kipimo cha ukomavu ni kuoa?

Mbona nawajua walio kibaoo halafu maisha yao ni mabovu tu.

Wewe ni juha eeeh
Ngoja madogo wakutomb** ndio utajua Kati ya single boy na wewe nani anayajua maisha.

#YNWA
Mjinga muheshimu ili kuepuka balaa
 
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).

Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa.

Kuna wale mabraza wa mtaa.
Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home.
Na mabraza wengine naokutana nao njiani huko nikiwa kwenye mishe za mjini.

Sasa bana mabraza wote Wana "ujinga" fulani hivi unaofanana wa kuuliza......

1. Umeoa
2. Utaoa lini?
3. Kwanini mpaka leo hujaoa?

Yaani Wana maswali yakiwaki na ya ajabu balaaa. Ni vile tu busara huwezi kupanick au kuwajibu hovyo. Sijui hudhani kuoa ndio mafanikio.

Hivi nyie mlioa HUWA MNAJIKUTA NDIO MNAAKILI, Yaani kwa kuwa MMEOA basi ndio MMEPATIA MAISHA?
Yaani unakutana na mtu K.koo, hamjaonana miaka. Badala muongelee madili ye "Ni maswali ya kiwaki ya kuoa tu"

Kuna mmoja nimemjibu mbaya, maana kusema kweli alizidi, na moyo ukashindwa kuvumilia maudhi.

Shangazi alimuita nyumbani aje weekend. Braza akaja na mkewe.

Huyu braza ye kila point of meeting ya familia, iwe msosi, maombi, sebuleni tu tunapiga story ye ni "Mr. Liverpool uoe" alianza ijumaa yotee, mara jumamosi yotee akaendeleza ujinga wake.

Ilipofika jumapili nikaona huyu sasa anazidi nilimpa jibu moja tu, Hakuendelea Tena na uwaki wake.

Halafu nyie mabraza kinachoshangaza, mnataka tuoe michepuko yenu.

Yaani zile mbunye ambazo mnazisugua, na kulala nazo ambazo ni michepuko yenu NDIO MNATAKA TUOE SISI?

Yaani sisi tuoe residual zenu?

Yaani mko na demu halafu mnamwambia "Tuendelee kunyanduana halafu ukipata mtu wa kukuoa tutaachana"

Hivi ma "single boy" wenzangu mnaelewa hili?

Mabraza eeeh PUNGUZENI MAMBO YA KIWAKI.
Tukikutana hebu tuongelee madili kama huna cha maana si tuongelee basi Simba juzi kubebwa kwenye shirikisho.

Nimekupa taarifa Niko Dar, niite bar tuje kuongea madili.
Nipe dili la kwenda Iringa maporini nikukusanyie mirunda uje kununulia Iringa mjini uniachie pesa.
Nipe dili niende Mtera nikakutafutie samaki uje kuuza kwenye mgahawa wako.

Kifupi kama kweli unajali maisha yangu basi NIPE DILIIII niingize pesa na sio kunikomalia na maswali ya ajabu.

Mambo ya kukutana halafu we huna la maana zaidi ya "Utaoa lini" ni UZUZU huu aiseee.

Mnazingua balaa. Nina hasira balaaa. Hatupendi maswali yenu ya KIWAKI.

Tuendelee kutafuta hela

"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"

#YNWA
Unaulizwa swali la maana unanuna na kuja kuulimwaga jamiiforum.kwani ukiulizwa kuoa kuna shida gani.??? Haya ulitaka kuulizwa una demu.????? Au una watoto wangapi huko nje
 
Ndoa haina faida yoyote kwa mwanaume anaeamini ukweli halisi wa maisha
“ born alone, die alone “


Haya nyie mnaohangaika na ndoa na watoto miaka mia tano ijayo mtakua wapii?
Hakuna kuoa na hakuna kuzaa!

I’m my own company.
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
au ana tatizo na nguvu za kiume, haisimami

Huu ni unyanyasaji ndugu,, Comment imekaa kimanyanyaso sana hehehe
 
Si jambo zuri kumkalia mtu kooni afanye jambo fulani, unasema mara 1 tu, fulani nawe ufanye uoe kisha unamuacha, kila mtu na maisha yake mjini.

Sahihi kabisa, Kilicho mkera Liverpool VPN ni swala la yeye KUOA kuwa ajenda,, amesema kila wanapokutana kifamilia ajenda ni yeye kuoa..

Hili kweli linakera,,ukiona mtu unamueleza jambo hilo hilo mara kibao na haelewi lazima ukasirike.

InShort: Naunga mkono hoja, Kuoa sio kipaumbele kwa kila mtu na hakuna sheria ya kulazimisha mtu,, kila mtu ana timeline yake katika mipango yake... Kuoa ni swala personal sana.

Acha tupambane na Ujinga, Maradhi na Umasikini.
 
Sahihi kabisa, Kilicho mkera KENZY ni swala la yeye KUOA kuwa ajenda,, amesema kila wanapokutana kifamilia ajenda ni yeye kuoa..

Hili kweli linakera,,ukiona mtu unamueleza jambo hilo hilo mara kibao na haelewi lazima ukasirike.

InShort: Naunga mkono hoja, Kuoa sio kipaumbele kwa kila mtu na hakuna sheria ya kulazimisha mtu,, kila mtu ana timeline yake katika mipango yake... Kuoa ni swala personal sana.

Acha tupambane na Ujinga, Maradhi na Umasikini.
Hakuna kulazimishana, hata mafundisho ya dini yangu yananifundisha hivyo.
 
Wacha jeuri kwa kaka zako,wanakuambia uoe kwa vile unapenda sana kukodolea mitako ya masheji zako,ndio maana wanakwambia kikubwa uoe sio kukodolea macho shemeji zako
Si watafute flat screen.

Unawezaje kuanzisha Shamba la miwa pembeni ya Shule ya msingi?

#YNWA
 
we umeshindikana..!
Sasa madam kweli hapo nyumbani ulete juice halafu uweke kwenye fridge.

Then ukienda kazini watoto wainywe then ukirudi job uanze kuwachapa ""nani kanywa juice yangu?"'

Kweli hii haki?

Vitamu ficha mbali, maana kila mwenye hamu HUVITANANI.

#YNWA
 
Unaulizwa swali la maana unanuna na kuja kuulimwaga jamiiforum.kwani ukiulizwa kuoa kuna shida gani.??? Haya ulitaka kuulizwa una demu.????? Au una watoto wangapi huko nje
Soma comment #83 na 87.

#YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom