Linda Joseph
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 462
- 871
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa umeniacha njia panda kw kweliSasa madam kweli hapo nyumbani ulete juice halafu uweke kwenye fridge.
Then ukienda kazini watoto wainywe then ukirudi job uanze kuwachapa ""nani kanywa juice yangu?"'
Kweli hii haki?
Vitamu ficha mbali, maana kila mwenye hamu HUVITANANI.
#YNWA