Vijana waliooa wanakwaza sana

Vijana waliooa wanakwaza sana

"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"


Hahahaah nimecheka hatari
 
Halafu ukisema hujaoa huwa unaoneaka so low sana

Yaani ukioa wao ndio unaonekana bab kubwa!! Aisee.

Hizi notion za ovyo ovyo achaneni nazo
 
huko juu umeandika age ni 32 yrs kwa huo umri jamii nyingi za Tz zina mawazo hayo lazima uulizwe, especially watu wa middle class wanaonaga kuoa ni big of a deal

muhimu kuwa na watoto wako kuliko hiyo ndoa inayoweza kuvunjika anytime ...”Ndoa ni trap, eti sleeping with one person for the rest of your life” aisee ndoa ni biggest scam of them all, ila haina jinsi we will do it anyway ..sitaki kufa peke angu sad & lonely
 
Mimi nawaulizaga nioe kwasababu gani? Embu nipe sababu kwanini nioe?..🤣🤣🤣
 
Anaekupenda atakushauri njia impendezayo Mungu.

Kwenye ndoa kuna mazuri na matam sana. Tusizoee kuangalia tu the negative side kisa ndoa nyingi hazidumu.

Wewe kamata ka Karucee kako kadogo dogo kaweke ndani sema mie sitafeli katika hili.

All the best LVP.
NAKAZIA.
 
Kwa maisha ya Sasa siyo lazima.Acha kukariri.Maisha yalisha badilika zamani Sana. Endelea kukariri.

Ndoa ina faida kwa mwanamke tu
Kwa mwanaume ni unyonyaji
Acha kukwepa majukumu wewe.
 
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).

Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa.

Kuna wale mabraza wa mtaa.
Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home.
Na mabraza wengine naokutana nao njiani huko nikiwa kwenye mishe za mjini.

Sasa bana mabraza wote Wana "ujinga" fulani hivi unaofanana wa kuuliza......

1. Umeoa
2. Utaoa lini?
3. Kwanini mpaka leo hujaoa?

Yaani Wana maswali yakiwaki na ya ajabu balaaa. Ni vile tu busara huwezi kupanick au kuwajibu hovyo. Sijui hudhani kuoa ndio mafanikio.

Hivi nyie mlioa HUWA MNAJIKUTA NDIO MNAAKILI, Yaani kwa kuwa MMEOA basi ndio MMEPATIA MAISHA?
Yaani unakutana na mtu K.koo, hamjaonana miaka. Badala muongelee madili ye "Ni maswali ya kiwaki ya kuoa tu"

Kuna mmoja nimemjibu mbaya, maana kusema kweli alizidi, na moyo ukashindwa kuvumilia maudhi.

Shangazi alimuita nyumbani aje weekend. Braza akaja na mkewe.

Huyu braza ye kila point of meeting ya familia, iwe msosi, maombi, sebuleni tu tunapiga story ye ni "Mr. Liverpool uoe" alianza ijumaa yotee, mara jumamosi yotee akaendeleza ujinga wake.

Ilipofika jumapili nikaona huyu sasa anazidi nilimpa jibu moja tu, Hakuendelea Tena na uwaki wake.

Halafu nyie mabraza kinachoshangaza, mnataka tuoe michepuko yenu.

Yaani zile mbunye ambazo mnazisugua, na kulala nazo ambazo ni michepuko yenu NDIO MNATAKA TUOE SISI?

Yaani sisi tuoe residual zenu?

Yaani mko na demu halafu mnamwambia "Tuendelee kunyanduana halafu ukipata mtu wa kukuoa tutaachana"

Hivi ma "single boy" wenzangu mnaelewa hili?

Mabraza eeeh PUNGUZENI MAMBO YA KIWAKI.
Tukikutana hebu tuongelee madili kama huna cha maana si tuongelee basi Simba juzi kubebwa kwenye shirikisho.

Nimekupa taarifa Niko Dar, niite bar tuje kuongea madili.
Nipe dili la kwenda Iringa maporini nikukusanyie mirunda uje kununulia Iringa mjini uniachie pesa.
Nipe dili niende Mtera nikakutafutie samaki uje kuuza kwenye mgahawa wako.

Kifupi kama kweli unajali maisha yangu basi NIPE DILIIII niingize pesa na sio kunikomalia na maswali ya ajabu.

Mambo ya kukutana halafu we huna la maana zaidi ya "Utaoa lini" ni UZUZU huu aiseee.

Mnazingua balaa. Nina hasira balaaa. Hatupendi maswali yenu ya KIWAKI.

Tuendelee kutafuta hela

"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"

#YNWA
unaoa lini bro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom