Vijana waliooa wanakwaza sana

Vijana waliooa wanakwaza sana

Yote ni perceptions tu. No offense lakini mtoa mada kwa mazingira yake yanayomzunguka & perhaps kwa tafiti zake ameona kutooa kuna faida nyingi na hasara chache.

Na upande wa pili, OP wanaona kuoa/kuolewa Kuna faida nyingi kuliko hasara.
If it works out for you, there's no guarantee it will work out for someone else.

Kuna waliooa wakafanikiwa zaidi ukilinganisha na walivyokua awali and vice versa.

Na pia kuna walioamini bila kuoa watafanikiwa zaidi & now unakuta it's almost too late na hawajafanikiwa kama walivyotarajia.

Ni kosa kusema watu (wengi) without actual facts kwamba wamefanikiwa kwa kuoa/kutokuoa maana hizo ni propaganda tu, na siku zote "muwamba ngoma, huvutia kwake"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen.

#YNWA
 
Nakazia!

Kuna walio oa wakiwa hawana kitu waka fanikiwa mfano kina Baraka Obama.

Kuna walio kuwa wamefanikiwa kiuchumi baada ya kuoa waka poromoka mfano kwenye jamii tuna ishi nao

Kuna walio kuwa vizuri kiuchumi na wameoa baada ya kuona mambo yao haya endi vizuri waka amua kupiga chini maswala ya ndoa hapo ndo anazungumzia kina Dangote,bezos,bill gate,Diamond n.k

Kuna walio ishi maisha yao na uchumi haukuwa mbayaa mfano kina Ruge

Maisha ni kuchagua Kutokana na research uliyo ifanya wewe binafsi.
 
wanaotaka kuolewa ni wengi, na wanaotakiwa kuoa hawataki kuoa, na wanawake wanazidi kuongezeka kila kukicha, ukizingatia idadi ya wanaume ni chache sana.

Na kwenye hio idadi chache ya wanaume, toa mapunga, toa wasio taka kuoa, toa waume za watu, tukiwatoa na vibamia ndo kwishne kabisa.

Kwa hali hiyo, wanawake mtaolewa na nani? Wanawake nawaonea huruma kazi mnayo, pambaneni na hali zenu.

Naunga mkono hoja ya mleta mada.
 
Likizo yangu ya mwaka huu ilifika. Nikaona likizo hii nikai-spend home (Dar es Salaam) kule nilikokulia (kwa shangazi).

Sasa bwana kwenye hii likizo kuna jambo linatokea halafu linanikera sana tena hasa.

Kuna wale mabraza wa mtaa.
Kuna mabraza ambao ni ndugu hujaga home.
Na mabraza wengine naokutana nao njiani huko nikiwa kwenye mishe za mjini.

Sasa bana mabraza wote Wana "ujinga" fulani hivi unaofanana wa kuuliza......

1. Umeoa
2. Utaoa lini?
3. Kwanini mpaka leo hujaoa?

Yaani Wana maswali yakiwaki na ya ajabu balaaa. Ni vile tu busara huwezi kupanick au kuwajibu hovyo. Sijui hudhani kuoa ndio mafanikio.

Hivi nyie mlioa HUWA MNAJIKUTA NDIO MNAAKILI, Yaani kwa kuwa MMEOA basi ndio MMEPATIA MAISHA?
Yaani unakutana na mtu K.koo, hamjaonana miaka. Badala muongelee madili ye "Ni maswali ya kiwaki ya kuoa tu"

Kuna mmoja nimemjibu mbaya, maana kusema kweli alizidi, na moyo ukashindwa kuvumilia maudhi.

Shangazi alimuita nyumbani aje weekend. Braza akaja na mkewe.

Huyu braza ye kila point of meeting ya familia, iwe msosi, maombi, sebuleni tu tunapiga story ye ni "Mr. Liverpool uoe" alianza ijumaa yotee, mara jumamosi yotee akaendeleza ujinga wake.

Ilipofika jumapili nikaona huyu sasa anazidi nilimpa jibu moja tu, Hakuendelea Tena na uwaki wake.

Halafu nyie mabraza kinachoshangaza, mnataka tuoe michepuko yenu.

Yaani zile mbunye ambazo mnazisugua, na kulala nazo ambazo ni michepuko yenu NDIO MNATAKA TUOE SISI?

Yaani sisi tuoe residual zenu?

Yaani mko na demu halafu mnamwambia "Tuendelee kunyanduana halafu ukipata mtu wa kukuoa tutaachana"

Hivi ma "single boy" wenzangu mnaelewa hili?

Mabraza eeeh PUNGUZENI MAMBO YA KIWAKI.
Tukikutana hebu tuongelee madili kama huna cha maana si tuongelee basi Simba juzi kubebwa kwenye shirikisho.

Nimekupa taarifa Niko Dar, niite bar tuje kuongea madili.
Nipe dili la kwenda Iringa maporini nikukusanyie mirunda uje kununulia Iringa mjini uniachie pesa.
Nipe dili niende Mtera nikakutafutie samaki uje kuuza kwenye mgahawa wako.

Kifupi kama kweli unajali maisha yangu basi NIPE DILIIII niingize pesa na sio kunikomalia na maswali ya ajabu.

Mambo ya kukutana halafu we huna la maana zaidi ya "Utaoa lini" ni UZUZU huu aiseee.

Mnazingua balaa. Nina hasira balaaa. Hatupendi maswali yenu ya KIWAKI.

Tuendelee kutafuta hela

"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"

#YNWA
Hata mimi hua nashangaa hilo swali,badala mtu akushirikishe hata dili ya maendeleo, anakuuliza eti unaoa lini.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom