Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,585
- 34,767
Ngoja niongee na waZiri wa Katiba na sheria aandae huo muswada.Huko tumetoka kitambo Sanaenzi izo Kwa mjibu wa sheria 835 kj ko itakuwa fuuuresh tu
Ngoja niongee na waZiri wa Katiba na sheria aandae huo muswada.Huko tumetoka kitambo Sanaenzi izo Kwa mjibu wa sheria 835 kj ko itakuwa fuuuresh tu
Kila la kheriNgoja niongee na waZiri wa Katiba na sheria aandae huo muswada.
KivipiUmaskini ndiyo unafanya watu waone kuoa ni mafanikio.
Ipo hivi, kama watu maisha ya shida sana. Vitu vya kawaida huchukuliwa kuwa ni mafanikio. Zamani mtu mwenye kitambi alionekana amefanikiwa sana. Sababu ni umaskini uliokuwa umepitiliza wa kukosa hata lishe. Lakini siku hizi kitambi siyo ishara ya mafanikio sababu watu wengi wanauhakika wa mlo. Zaidi zaidi kinaonekana ni ugonjwa. Ipo hivyo kwenye kuoa.Kivipi
Na Hawa wanaoleta ushuhuda humu juu ya ndoano za ndoa zao, NAO WANA HISTORIA MBAYA??Nilitamani nichangie lakini niliposoma background yako bora nisichangie kwani unahitaji tiba ya moyo na nafsi.
Unatembea na majeraha ya maisha na yanekuathiri sana.
Kwasababu yamekua ni sehemu yako ya maisha huhisi kuwa ni tatizo.
Sawa na mtu anayefanya kazi kariakoo shimoni...hufika mahali haisikiii tena harufu chafu ya huko shimoni tofauti na mtu mgeni maeneo hayo.
Achana na hili swali.Nikikutana na jamaa yangu ambaye hatujaonana muda,lazima tu nitamuuliza vipi family hawajambo?



Jamaa ni mkuu wa Idara na anatarajia kuanza PhD mwaka huuLikizo umeenda kwa shangazi halafu unaulizwa kuoa. Maliza shule dogo




Achana nae ngiri huyuu..Jamaa ni mkuu wa Idara na anatarajia kuanza PhD mwaka huu
![]()
The point is MONEYMkuu wa Idara![]()
Tafuta hela hizi heshima zitaji set zenyewe..!!!Me sijaoa Ila nadhani kuoa kunamuongezea mwanaume Heshima, Kujiamini, Furaha na Akili ya Kupambana.
Kila mtu na njia yake ya maisha.Vijana wenzangu tuoe, Mimi Mungu akinijaalia Mwaka huu haushi naoa,
Waume za watu kibao wanabakuliwa nyuma.Usipooa Mtoto wa Kiume utaolewa wewe
Ukikutana na mtu usipende kuuliza "Personal questions"Mara nyingine unakuwa ni utani tu anakuuliza ili muendelea na story
Kutomber hakuna uhusiano na ndoa.Mkuu naona unakoelekea utataka kuolewa sasa maana mashangazi humu pia yamejaa kukuoa Wala sio ishu ni fasta tu.
Hii ni movement na itadumu MILELE.ongeza juhudi kuji brand na thread zako hiz 🧐🧐🧐
Wanakuaga mangiri sanaa...!!Watu wa pwani hayo ndio maswali yao
Money can buy anything and money is everything."If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"
Hahahaah nimecheka hatari
Hakuna upendo wowote.Anaekupenda atakushauri njia impendezayo Mungu.
Ndoa nyingi ni ngumu.Kwenye ndoa kuna mazuri na matam sana. Tusizoee kuangalia tu the negative side kisa ndoa nyingi hazidumu.
Plan sasa ni kumiliki V8 nyeusi au RANGE ROVER SPORTS (Gari za mil 100 hukoo na kuendelea).Wewe kamata ka Karucee kako kadogo dogo kaweke ndani sema mie sitafeli katika hili.
All the best LVP.
Maswali ya "Personal issues" kwenye maisha yanakera...Sasa mwanaume unachukia kuulizwa utaoa lini ...?Basi tuanze kukuuliza utaolewa lini.....?
Kwani huna maswali mengine zaidi ya personal matters?Maana kumjibu tu mtu kuwa "Sorry bro bado najipanga " utakufa ....?