Vijana wa kitambo chetu

Watu wanaogopa uzee kisa unakuja na mengi hasa magonjwa, kupoteza kumbukumbu, kukosa hamu ya vingi

Ila pesa inachangia kuufurahia uzee aseeh

Eniwei niko na 46 min -me nisalimie bwashee
Hahaha wewe bado kidogo tulia utafika karibu na kifo tu bwashee πŸ˜„
 
Pole sana dogo shikilia hapohapo usikate tamaa, giza likizidi kunakaribia kupambazuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…