Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

Hahahaaaaaa hata wewe msomi? Ni kweli ww ni msomi kuliko Mulugo...Hivi umepata ukuu wa wilaya gani?
 
Juliana Shonza mdogo wangu ungejua kwa kiasi gani unajivua nguo tena siyo gauni lako tu mpaka nguo yako ya ndani.Hebu acha sera za kutaja watu amjina.Kitu amabcho ninakiona kwako ni ulevi wa kukosa ulichodhani utakipata toka sisiem.Acha.Usitupe Mbachao kwa msala upitao.The more unawatuka wapinzani wakk hususani chama chako cha zamani, CCM hawata kuheshimu kamwe.Jitahidi tafuta hoja za maana siyo kila siku Vijana wa CDM.Hao CCM sana wanafundisha vijana namna ya kuliibia Taifa lao, Ufisadi, Rushwa, Mauaji ya Albino nk nk.Pole lakini ila ninakuonea huruma sana.Sioni kinachofundishwa ndani ya UVCCM zaidi ya chuki kwa wapinzani.
 
Ni kweli vijana wa ccm wana uwezo mkubwa lakini kwenye mambo ya kubomoa kuliko kujenga. Wameshiriki ktk mauaji ya wapinzani na wanaongoza kwa kukamatwa ugoni. Naona ulichokuwa unakikosa CDM umekipata huko, tulia ufaidi, kelele za nini?
 
Tangu nimejiunga ndani ya CCM, nimepata fursa ya kufanya tafiti na kugundua tofauti kubwa sana kati ya viongozi, wanachama na hasa vijana ndani ya CCM na wale wanaotoka vyama vya upinzani, vikiongozwa na CHADEMA.

USHAURI.
VIJANA wa vyama vya upinzani jiongezeni, mnalalamika hamna ajira wakati elimu ya kuunga unga, mnafikiri mtapata kazi kwa kuandamana..? Ongezeni maarifa ili muweze kuajirika, sio mnakesha kwenye ma-movement yasiyo na tija halafu mnategemea maisha bora.
HILO TU...OMBA LINGINE
DSC01645.JPG

Sonza.jpg
Mimi sii wa kwanza, si mnawaona wenzangu hawa!.
Kiukweli huyu binti kila nimwonapo ktk picha napata hisia kali juu yake, mpaka nimebandika picha zake chumbani kwangu. Kwa ufupi nampenda sana huyu dada, naomba yeyote atakaeweza kunikutanisha nae anisaidie au kama yeye huwa anapitia jukwaa hili ntafurahi sana hata akiwa karibu na mimi. Naomba tuweke utani pembeni ktk hili maana nipo serious na hizi ni hisia zangu juu ya binti huyu.
Mkuu Juliana Shonza, with due respect, mimi nimetokea kukuzimikia kwa jinsi ulivyo!, your , and intelligence innocent look, just kills me!, ulichoandika hapa ni facts kuhusu tatizo la ajira kwa vijana, na sio tuu kwa vijana wa Chadema, bali ni vijana wa taifa la Tanzania, katika ujumla wao!, ila ulichoandika hapa if your not posing as 'an agent provocateur', then you are a "macho woman!", usiiharibu hiyo inteligence and innocent look of your face, with such ----, hadi kupelekea, hata wale wasiojua kuwa degree yako ni moja ya zile degree za chu.., sasa wajue!!.

Anayekuambia ukweli, ndiye anayekupenda kwa that!,

I still believe you can do better that this!.

Pasco!.
 
Huo ndio ubongo wako unamtukana mzazi wako baada ya kuolewa sio Mimi sikutukani nakufunza jifunze kuweka akiba ya maneno.labda unavyosema vijana wa chadema hatuna elimu nipe I dadi ya vijana wa chadema Tanzania na nje ya Tz then weka CV zao ili nikubaliane na hoja yako tena anza na Mimi weka kiwango cha elimu yangu hapa.kama Mimi sijui kiwango chako cha elimu unadhani wewe ni nani ukajua viwango vya elimu vya vijana wote wa chadema au hata huko ccm sijui ni aina gani ya utafiti ulioufanya na kukupa hayo matokeo.kumbuka chama chochote hujengwa kwa aina zote za watu wenye elimu tofauti tofauti wote tukiwa na Phd unadhani karani atakuwa nani? Natema mate pembeni
 
Mimi sii wa kwanza, si mnawaona wenzangu hawa!.

Mkuu Juliana Shonza, with due respect, mimi nimetokea kukuzimikia kwa jinsi ulivyo!, your , and intelligence innocent look, just kills me!, ulichoandika hapa ni facts kuhusu tatizo la ajira kwa vijana, na sio tuu kwa vijana wa Chadema, bali ni vijana wa taifa la Tanzania, katika ujumla wao!, ila ulichoandika hapa if your not posing as 'an agent provocateur', then you are a "macho woman!", usiiharibu hiyo inteligence and innocent look of your face, with such ----, hadi kupelekea, hata wale wasiojua kuwa degree yako ni moja ya zile degree za chu.., sasa wajue!!.

Anayekuambia ukweli, ndiye anayekupenda kwa that!,

I still believe you can do better that this!.

Pasco!.

Hahahahahaaa Pasco umenifurahisha sana! Yan wewe Juliana Shonza umenikosea hata mimi? Mimi ni kijana wa Chadema ila nimewahi kukupeleka kwenye pepo ya dunia kwa muda! Hata hilo hulioni? Please Juliana nitake radhi!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa ubunifu kama huu naamini kabisa UVCCM wana uwezo mkubwa sana kifikra!
27.jpg
 
Hongera yenu enyi wanaCCM mnaoamini kuwa mnaakili hadi kuwatukana vijana wengine mnaoamini hawana akili kwasababu tu hawaungi mkono ccm.
 
CV yangu unaweza kuigoogle tu.,its that international. Ila kwa kifupi ni kuwa nimemzidi kielimu Mwenyekiti wako, Makamu Mwenyekiti wako, Nimemzidi Naibu Katibu Mkuu wako, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa Uenezi, Nimemzidi Mkurugenzi wako wa mafunzo, kwa kifupi nimewazidi almost wakurugenzi wenu wote.

Ila hilo ni ni tisa, BAVICHA hakuna hata mmoja mwenye kunifikia kwa CV!

Bora ungekaa kimya.
 
sasa kudanganywa kwako kwamba utapewa U DC , sisi tunahusikaje ?
 
Mimi nafikigi hauko sahihi sana, kila binadamu ana mapungufu yake
 
Wewe Shonza kama vijana wa cdm hawajasoma .ni Vema tu lakini tambua elimu .za wabunge wako marehemu komba ,majimarefu,January aliyeferi forest hill morogoro, na wengine wengi
 
Kama hii Akili ndo imefanya Utafiti na kuja na Hoja hii basi unakiaibisha chama chako cha Mapinduzi.Vijana gani hao ambao kila tukifuatilia tunakuta wana degree feki?Hujatoa mifano ya c.v ulizoziangalia, na pia hujatuambia hypothesis ya Utafiti wako ililenga jibu gani!
Vijana wengi ndani ya ccm wanaishi maisha ya kujipendekeza, mfano ni wewe mwenyewe, na Makonda. Vijana ndani ya ccm wanaodai Wamesoma ilihali wamefoji vyeti ni Wengi, tukianza na Philipo Mulugo, V. Kamata na wengine wengi tu. Mtu huna Bachelor Degree ila una Masters,ambayo ikifuatiliwa nayo ni fake. Namkubali Lusinde,hataki kuwa muongo,nyie wengine magumashi.
Wewe cjui ulisoma fani gani na chuo gani,ila huitendei Haki Taaluma yako,unaiaibisha,Unakiaibisha chuo ulichosoma!
wewe hata hujui tofauti ya kijana na mtu mzima..Umri wa Kijana kwa viwango vya Chama Cha Mapinduzi ni yule mwenye umri chini ya miaka 35 na hao uliowataja wote sio Vijana.

Kimsingi kabla ya kumvaa Juliana na hayo matusi yenu, ingelikuwa ni jambo la maana kuanza kuhoji imekuwaje form six failure ndio amekuwa Mwenyekiti wa Chama chenu..?
 
Hizo tafiti amekupa nani nafasi ya kuzifanya?kwa kutumia rasilimali zipi kutoka ndani ya ccm?wewe ni nani ndani ya ccm?wacha kujivisha kilemba cha ukoka.labda utafiti wa jinsi ya kushirikisha fisi kuvutia watu ktk mikutano ya chama.

jf ni noma broo nimecheka hadi sooo ccm wamefilisika
 
Juliana Shonza
hasira za kuukosa ukuu wa wilaya! wajanja walifanikiwa kukufuta katika ulimwingu wa siasa ona sasa hata hujui unafanyenini
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza

Wengine hatuna vyama humu ndani na nikisoma ulichoandika napata jibu kwanini ulifukuzwa na chadema. University of Dar es salaam ni chuo kikuu cha kwanza kwa ubora Tanzania lakini ni cha 2,475 (usiwe mvivu unaweza ku-google). Hivyo vingine nikikutajia ni vya ngapi unaweza kulia. Je hii ndiyo sifa unayoipigia upatu? Au vyuo hivi vinaongozwa na sera za upinzani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom