Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,417
Mbona shibuda anafahamika na hamchukulii hatua kali?zaidi ya asilimia 90 ya wahusika wamefahamika !
Mbona shibuda anafahamika na hamchukulii hatua kali?zaidi ya asilimia 90 ya wahusika wamefahamika !
Jibu hoja au mnamgodi wenu kule unataka kuchukuliwa na Rwanda...
kila mwenye mawazo hayo ayafute kabisaaa ! vinginevyo Utafungwa kwa kuchukua hela za watu na malengo yao usiyatimize ! Hadi hapa tulipofikia kuna waliofirisika , wako waliopata ulemavu , pia wako waliokufa kwa ajili ya kuipigania CHADEMA , sasa wakati tukikaribia ukombozi wa kweli wa nchi kila mwanacdm ni mlinzi , utabainika na kuaibika vibaya sana , WATCH OUT !
hii hbar wanaijadili hadi magogoni /lumbumba mkuuNaona CHADEMA ndio habari ya mujini,,,
JF imefurika habari za CHADEMA, which is good thing kueneza chama kwa vijana wa kidigitali...
Khaaaaa! Mbona huyu anayejikopesha mamilioni yenu hamfukuzi? Au mnafurahia tu anavyojikopesha?umenena mkuu, uwe mkt, katbu mkuu au naibu katbu mkuu kama unatumikia mafisad cku zako znahesabika, rudisha pesa tafadhar tutawafumua kwelkwel
Huwezi kuwa mpigania mabadiliko wakati unatembea na sumu kutaka kuwaangamiza wapigania mabadiliko wakuu. Wewe upo kupigania tumbo lako tuTusimame kidete kwa umoja wetu kulinda mabadiliko tunayotumaini kuwa nayo.Tumaini letu haliwezi kutendewa ukatili tukakubali kirahisi rahisi tu
Mmmmmmmmh. Makubwa hayaWatu wanao hoja za msingi ,,,wanasema wasaliti,,,usaliti una toka wapi wakati vitu vipo wazi,,1+1=2 na 5 + 5 = 10,,kwa nini mtulazimishe tena 10+5=15 wakati katiba hairuhusu???? Mtapoteza wanachama wengi sana,,mimi nikiwa wakwanza,,,huu ni upuuzi
uko wapi wewe? hujawahi kusikia rais akiwaogofya wajumbe kuwa cc haitakupitisha kwa kuhoji!.... wapi nyimbo! wepesi wa kusahau sana nyie, halafu wala huyo hajashughulikiwa na viongozi, ni wanachama wenye usongo tu wasiotaka utani kwenye mambo ya msingi. Huwezi msikia Slaa au Mbowe akimtishia kiongozi wa chini anayehoji mambo ya msingi, tofauti kabisa na magamba
It is non of your businessUchaguzi unafanyika lini?
Khaaaaa! Mbona huyu anayejikopesha mamilioni yenu hamfukuzi? Au mnafurahia tu anavyojikopesha?
Ukishajulikana kinachobaki ni timing tu mbona hata Mwigamba alishajulikana zamani?Mbona shibuda anafahamika na hamchukulii hatua kali?
Cdm haikuwa hoja yangu,pili huwezijibu hapo coz huna majibu ila time will tell...Siioni hoja ya kujibu mkuu bora urudi tuadili ukiisaliti CDM upigwe tu...
CHADEMA ni makini