Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,471
- 29,928
Njama za maccm huwa zinajulikana mapema sana...
Ok, kwa sasa ni wazi suluhisho la wengi wetu ni kupigwa tu, ...'na wapigwe' -PM
Lakini kipi ni bora, kumpiga mwananchi anayedai kujua rasilimali za umma zimetumikaje au mnafiki aliyehama chama baada ya kupewa 'mtaji wa duka' alafu akaanza kusimama majukwaani akisema hicho chama ni magaidi huku akijua anazusha!?
naona jahazi la cdm linazama, cdm ni chama pekee ambacho ukijifanya kuuliza maswali ya msingi unaitwa msaliti, ukitaka kufanikiwa chadema, wewe kuwa msukule tu, hakuna haki ya kuulizana, walioko juu ndio Miungu watu wengine kazi yao ni kuandamana...
kila mwenye mawazo hayo ayafute kabisaaa ! vinginevyo Utafungwa kwa kuchukua hela za watu na malengo yao usiyatimize ! Hadi hapa tulipofikia kuna waliofirisika , wako waliopata ulemavu , pia wako waliokufa kwa ajili ya kuipigania CHADEMA , sasa wakati tukikaribia ukombozi wa kweli wa nchi kila mwanacdm ni mlinzi , utabainika na kuaibika vibaya sana , WATCH OUT !
Naona CHADEMA ndio habari ya mujini,,,
JF imefurika habari za CHADEMA, which is good thing kueneza chama kwa vijana wa kidigitali...
Jibu hoja au mnamgodi wenu kule unataka kuchukuliwa na Rwanda...Sitaki kuamini kama upeo wako wa ufahamu umekomea hapo
Njama za maccm huwa zinajulikana mapema sana...
Rudi shule labda utaelewa..Ulichoandika umekielewa? Please nisaidie.
Komboa Nchi Kamanda, Mtu akisaliti ukombozi tunampiga! Dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uoga, kwahiyo ukiona nimepigwa risasi nimekufa, kanyaga maiti yangu, songa mbele, kakomboe nchi!kila mwenye mawazo hayo ayafute kabisaaa ! vinginevyo Utafungwa kwa kuchukua hela za watu na malengo yao usiyatimize ! Hadi hapa tulipofikia kuna waliofirisika , wako waliopata ulemavu , pia wako waliokufa kwa ajili ya kuipigania CHADEMA , sasa wakati tukikaribia ukombozi wa kweli wa nchi kila mwanacdm ni mlinzi , utabainika na kuaibika vibaya sana , WATCH OUT !
Uchaguzi unafanyika lini?
Tutawatafuta kila kona...
Kwa hiyo hata Chacha Wangwe mlimuua?kila mwenye mawazo hayo ayafute kabisaaa ! vinginevyo Utafungwa kwa kuchukua hela za watu na malengo yao usiyatimize ! Hadi hapa tulipofikia kuna waliofirisika , wako waliopata ulemavu , pia wako waliokufa kwa ajili ya kuipigania CHADEMA , sasa wakati tukikaribia ukombozi wa kweli wa nchi kila mwanacdm ni mlinzi , utabainika na kuaibika vibaya sana , WATCH OUT !