Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Msaliti yeyote ni K I C H A P O tu. Tumechoka na watu kama hawa, tena kichapo kiwe ni vibOko ili akamuonyeshe Mme/mme wake na akitoka hapo ajue kuwa hakuna dhambi mbaya kama USALITI.. Tumechoka sasa na hawa wanasiasa wapenda hela..Ukijiunga kwenye chama, ukachukua fomu ya kugombea uongozi na watu wakakuamini na kukuchagua halafu wewe kwa kupenda utajiri wa haraka ukapokea vipande 30 vya fedha na kusaliti chama chako na watu waliokuchangua basi wewe unastahiri KICHAPO!
 
Wakati Masalia wanasaliti, Mtoto wa Mkulima alikuwa bado Haja approve wasaliti kupigwa, otherwise, na wao wangepigwa tu kama Mwigamba...
 
hahhahahhahahahah mwalimu nawaonea huruma watoto unavyowalisha sumu ila kwa chadema watapata maziwa na itatoka tu ukizingua chadema tunakupiga tu....

hahahahhaahahh!!!!!!!!!!!!!! e nawaonea huruma sana nyie mnao hangaikaa ilihali ukweli unajulikana.
tusiumizane kichwa kwanza subiri tujionee
 
Ki ukweli hata mimi ningekuwa karibu na mtu wa aina hii ningempiga mpaka hasira zangu za machungu
tunayoyapata dhidi ya ccm yaishe' KWA "HERUFI KUBWA NASEMA TUTAWAPIGA"
 
Mpaka hivi sasa sijaamini ya kuwa maneno yaliyoandikwa na Mwandishi wa makala aliyekuwa ananifanya kila siku ya j5 nanunua gazeti la Tanzania Daima kumsoma yeye na Mwalimu mkuu wa watu kama leo hii nae amenisaliti mimi na si CDM. ujasiri wote ule alionijengea na kumwamini ya kwamba yeye ni kiongozi wangu juu ya kuwajenga ujasiri vijana wa kitanzania wake kwa waume leo hii ananena maneno kama hayo, ina maana gani labda kwakwe kunena maneno yale kwa kutumia ID fake humu ndani hili hali ana uwezo wa kuyafikisha maneno yake makao makuu?


sitakaa nisahau moja ya makala zake

1. Tanzania ziko ngapi? (yenye sehemu 1,2 na ya 3)

2. Waraka maalumu kwa maaskari wote.
(iliyomletea mzozo na serikali mpaka leo hii kesi iko mahakamani yeye, Absaloum Kibanda na Theo wa Mwananchi kama mchapishi wa makala)

3. Anaamin JK ni chaguo la Mungu.

4. JK kama Julio.
(Julio yule kocha msaidizi wa Simba Sports Club)

Ama kweli Br. Samson Mwigamba hapo umenifanya hata nami nikushindwe kukuweka wapi wewe askari magereza uliyekimbia depo kwa kusimamia misingi yako ya dini ya kisabato ya kutokufanya kazi siku ya jumamosi.

KAMA UTAKUWEPO HUMU NDANI MIMI NAOMBA UNIELEZE KWA NINI UNAKUWA POPO?
 
dahh wasomimi wa sikuizi wanaumiza sana mioyo yawatu kweli mtu unakaashule zaidi ya miaka20 then mtu anakuja kukupa vijicent unubalikusaliti mamilion ya watu just kwasasababu yatumbo EEEEEEHHHHH MWENYEZI MUNGU WAPE HEKIMA WATU HAWA. AMAN
 
kwa namna hiyo kamwe hamtafanikiwa kuongoza watu labda makundi ya ngombe.
 
Hakika inauma sana, hojako imenigusa sana na jinsi karibu kila Mtznia kaumizwa kwa kiasi chake.
 
Msaliti yeyote ni K I C H A P O tu. Tumechoka na watu kama hawa, tena kichapo kiwe ni vibOko ili akamuonyeshe Mme/mme wake na akitoka hapo ajue kuwa hakuna dhambi mbaya kama USALITI.. Tumechoka sasa na hawa wanasiasa wapenda hela..Ukijiunga kwenye chama, ukachukua fomu ya kugombea uongozi na watu wakakuamini na kukuchagua halafu wewe kwa kupenda utajiri wa haraka ukapokea vipande 30 vya fedha na kusaliti chama chako na watu waliokuchangua basi wewe unastahiri KICHAPO!

Nimependa hapo kwenye red....ila umesahau kutoa angalizo kuwa ulichoandika hakimhusu babu Eduu, Mbowe na slaa...wao kupenda pesa, kujilimbikizia mali, kula na kujikopesha ruzuku kwao ni ruksa.....wao ni miungu atiiii.
 
Wasaliti kaeni sawa red brigedi wapo tayari mafunzo kutoa adhabu za suluba kwenu

Kwani tumebisha....wapigeni, wauweni kama ambavyo mmekuwa mkifanya kila mara.

Ila wasiwasi wangu ni hiyo tafsiri ya neno MSALITI inayotokana na maoni ya babu Eduu, Mbowe na Slaa.

Chondechonde bandugu mtamalizana na kudhulumu wasio na hatia bure, kwa mfano mlivyotwanga bomu pale soweto tuna uhakika gani WASALITI wenu walidhurika....na ndio maana kila mnapokuwa na mkutano kunakuwa na maafa.......kisa wasaliti.

Na nyie wafuasi mkiwa ndani ya Chadomo kazi yenu ni kusem"hewala bwana" kwa kila linalofanywa na VIONGOZI.....other wise mkiwaudhi wakubwa mtaitwa wasaliti na mjiandae kwa lolote.

...............Mwisho wa siku chama kitabaki na babu Eduu, Mbowe na Slaa....wengine wooooote WASALITI.
 
Ipo wapi demokrasia ndani ya Chadema.

Pole sana. Lazima wenye akili zaidi waweke mpangilio la sivyo itakuwa ni fujo.

Ml Nyerere alisema demokrasia bila mpangilio ni fujo na kazi bila uongozi basi huo ni uwendawazimu.
 
Mwalimu mnayemhusudu alitandika bakora watu wangapi? Je Moi, kwa yule wazili wa 10%? Wasaliti ni wabaya kuliko mnavyofikiria. Hivi chama maana yake ni nini? Si watu wenye mawazo mamoja , msimamo mmoja na fikra moja?Au ,mwalimu wangu alikosea? Hovyo!
 
Back
Top Bottom