Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Ukombozi wa nini?Acheni kujidanganya nyinyi na huyo Mbowe wenu nani atakayewapa Nchii hii?Kuanzia leo sina Chama sioni tofauti kati ya CCM na CHADEMA.Watanzania tunakisubiri Chama Upinzani cha Ukweli na siyo hiki kilichojaa wahuni watupu wasioweza kuvumiliana na wengine wanaotofautiana na kimawazo na kimsimamo.CHADEMA bado sana kuiongoza hii Nchi ambayo inakabiliwa na challenges nyingi za geo-politics na kiuchumi.Binafsi nilitamani sana uchukue Nchi 2015 lakini kwa mwendo huu unaokwenda nao na aina ya Viongozi walioko wananipa wasiwasi kama kweli wapo tayari au wana ajenda nzito walioificha nyuma ya pazia.
Mkuu ambacho huelewi ni kuwa maendeleo ya kweli yanakuja kama kuna ZERO TOLERANCE, na CHADEMA wanaonesha zero tolerance na usaliti, which is good thing. Mimi binafsi nawapongeza kwa hilo kwamba ukapita nje ya mstari inakula kwako. Mtu anayetoboa jahazi ambalo wote mnasafiria dawa ni kumtosa tu.