Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Tofautisha kupinga na kusaliti! Kuna tofauti kubwa kati ya kupinga na kusaliti. Mtoto wa darasa la kwanza shule ya kata anaweza kukusaidia hili.
Very well nailed Mtoi. Pia hongera kwa tafakuri yenye ujumbe mahsusi hapo juu.
 
Kwakweli na wapigwe tuu.

Mtu mnafiki na muongea pembeni ni wakupigwa tuu ili ajifunze kuongea panapo stahili.

Kwakweli msaliti yeyote apigwe tuu maana tumechoka.

Nabariki kipigo cha mwigamba kama kilitoke.

Nasema tena kama kilitokea anastahili ili aache unafiki awe anaongea bila kujali.
 
Hili ni fundisho kwa wote wanaodhani tuko kwenye mchezo.TUNAPOSEMA TUKO KWENYE MAPAMBANO TUNAMAANISHA.
 
Demokrasia yao ni ya kupiga wenzao kisa wanahoji mambo yahusuyo chama.
hawa mashua yao imeshazama tayari.......................

tuwaache wazikane wenyewe sie tuendeleze juhudi za kuhakikisha kwamba LOWASSA anachukua nchi mwaka 2015.

hahhahahhahahahah mwalimu nawaonea huruma watoto unavyowalisha sumu ila kwa chadema watapata maziwa na itatoka tu ukizingua chadema tunakupiga tu....
 
kumbe ukihoji maswala ya utawala unachoambulia ni ngeu...
sasa mkikaimu dola si ndomtatu ngoa macho kabisa...
 
kumbe ukihoji maswala ya utawala unachoambulia ni ngeu...
sasa mkikaimu dola si ndomtatu ngoa macho kabisa...

1. Kama hujui tofauti kati ya KUSALITI na KUHOJI unahitaji darasa la kipekee kwanza la kufundishwa kutofautishwa haya mawili.

2. Kama hujui utaratibu wa kiongozi kuhoji na wapi anatakiwa akahoji na kupata majibu litakuwa ni darasa lingine baada ya hapo juu kukamilika.
 
Mwigamba alikuwa anapima urefu wa maji akakuta kina ni kirefu mno hata mwisho wake haujulikani.Viva chadema.Wasaliti washugulikiwe tu.
 
1. Kama hujui tofauti kati ya KUSALITI na KUHOJI unahitaji darasa la kipekee kwanza la kufundishwa kutofautishwa haya mawili.

2. Kama hujui utaratibu wa kiongozi kuhoji na wapi anatakiwa akahoji na kupata majibu litakuwa ni darasa lingine baada ya hapo juu kukamilika.

Nasema hivi kiongozi aliemaliza muda wa uongozi anahaki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza mashariti katika cheo kimoja hii iko kwenye ibara moja ya toleo la 2004 mwaka 2006 tulifanya renovation mwaka huo huo tulikubaliana kubadilisha baadhi ya vipengele mimi nilikuwa katibu wa wilaya na hiki kipengele hatukiozungumzia juzi wakati napitia katiba nikitaka kujua kwanini mbowe na zitto wanagombana nikaona hiki kipengelee hakipo, nikasema kwanini hatukuambiwa wajumbe wakati kinaondolewa...MBOWE, ARFI - bara, MOHAMEDI ISSA - zanzibar, DR SLAA, Naibu katibu mkuu MOHAMEDI YUSUF- zanzibar, ZITTO –Bar hawa mimi ndiyo nawapinga kuendelea kugombea.....
 
Mkuu kupiga watu ndiyo uchambuzi makini? Siku mkichukuwa dola wale wote ambao watakawapinga si mtawauwa wote.
Tutakuwa kama china vile hakuna kucheka na kima kwenye mahindi
 
HAPA SINA MASIHARA KABISA
HUYU MSALITI WANGEMNG'OA PUA ILI IWE FUNDISHO
Kwa nn makamanda mume mu-massaji tuu huyu? aiseee! natamani ningekuwemo!
 
Tutakuwa kama china vile hakuna kucheka na kima kwenye mahindi

Huu ujumbe umfikie kila kijana wa kitanzania. Wametufikishwal hapa kwa sababu ya upole wetu. Sasa upole huo umekuwa mtaji kwao, urithi wa vizazi vijavyo unaishia mikononi mwa wachace. Ni vizuri usingie, lakini ukiangia na kusaliti chama utapa chamtema kuni.
 
Mkuu Mtoi

Nakubaliana na wewe kabisa,

Watanzania wanakijenga chama kwa jasho na damu, leo atokee mpuuzi mmoja au wawili wakisaliti chama, hapo lazima wapigwe tu,
 
Mkuu na kubaliana na wewe kimsingi kwamba wasaliti waadhibiwe ila ninapendekeza kwa heshma ya CHAMA ambacho kimsingi kwa sasa ndiyo chama halali cha Kisiasa kwani kingine nadhani mmesikia hata mwenyekiti wake amewagombeza na kuwaasa waache kucheza na kuimbaimba jukwaani (NYIMBO ZA AKINA WALETE TUWACHANECHANE TU WATUPE) bali waende chini vijijini wakakutane na wananchi na kujua matatizo yanayowasibu (KAMA AMBAVYO CHADEMA INAFANYA) kwani kwasasa watanzania wanachaguo lingine (AMINI USIAMINI HAPA ALIMAANISHA CHADEMA) japo hakusema wazi .Tuna shauri Uongozi kuhakikisha kwamba wakosaji wachunguzwe na kuadhibiwa kwamujibu wa Katiba ya Chama ili kuwaonesha watanzania tofauti ya ( akina wapigwe tu BUNGENI ) na nguvu ya UMA.

UWEKWE UTARATIBU MAKINI WAKICHAMA WAKUWASHUGHULIKIA WAHUSIKA WAMAKOSA HAYA NA KUWAVUA UANACHAMA SIYO UONGOPZI TU NA KUWATANGAZA KUWA MAADUI WA MAGEUZI NA WASALITI WA JITIHADA ZA UKOMBOZI WA WATANZANIA.

CHADEMA ni chama bora kabisa cha upinzani Afrika kwa hiyo lazima katika kushughulikia matatizo yake basi hatua zake zilingane na sifa za kichama na ionekana siyo tu kwamba haki inatendeka bali ikitendeka kwa mujibu na uzito wa kosa husika

Kwa ushauri huo hata mimi ninakuunga mkono asilimia 100%. Huo ndio UTAWALA BORA ambao CHADEMA tunapaswa kuutekeleza,kwa kuzingatia SHERIA NA KANUNI za chama juu ya makosa ya aina yoyote ukiwepo na USALITI katika KUWAADHIBU wahalifu wote bila kujali VYEO,ELIMU AU UMAARUFU wao ndani ya Chama.

Naamini viongozi husika watazingatia USHAURI huu ili kila mtu atendewe haki,kulingana na makosa yake.
CHADEMA TUSONGE MBELE,SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
 
Waulize yule yuda aliemsaliti issa/yesu,je,nini kilimpata. Alipata pigo!
 
Demokrasia yao ni ya kupiga wenzao kisa wanahoji mambo yahusuyo chama.
hawa mashua yao imeshazama tayari.......................

tuwaache wazikane wenyewe sie tuendeleze juhudi za kuhakikisha kwamba LOWASSA anachukua nchi mwaka 2015.

Haya tumekusikia na kukusoma Riziwani. Ila Tatizo umevaa gauni. Ondoa nguo hiyo ubaki na identity yako.
 
Mwigamba is a free citizen anaweza kutoa maoni yake vyovyote anavyotaka msituletee udiktator. Kama kuna ufisadi na ushenzi unaoendelea kwenye chama lazima yaanikwe hadharani mambo ya kujificha kwenye vikao ndio mwanzo wa kukiozesha chama. Kwa Mwigamba kutoa malalamiko yake kutumia mtandao inaonyesha kuna udiktator unaoendelea chadema na ni mwiko kuwakashifu vigogo wa chama. Unafki hatutaki practise what you preach msitudanganye mnapiga vita ufisadi wakati nyinyi wenyewe mna mafaili machafu.

Kama maetoa malalamiko yake kwenye mtandao huko kwenye vikao amefuta nini basi....?Halafu anasifi uongozi wa Chadema kitaifa,huku anapost kashfa dhidi yao kwenye matandao,sasa tumueleweje,yeye anachoamini ni kile anachosema kwenye vikao halali ikiwa pamoja na kusifia viongozi wake....???? Au anaamini yale malalamiko yake aliyoposti kwenye mtadao....???????? Huyu ni MTU MNAFIKI HAFAI KWA KAZI YOYOTE NJEMA.
Akumbuke hata YUDA alimsaliti Bwana YESU matokeo yake AKAFA na tumbo lake likachanika......seuze Mwigamba mnafiki.
 
Back
Top Bottom