Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

Mnamkumbuka Gouebuza?
Alikuwa mwandishi wa mashairi ya ukombozi wa kisiasa later akawa Raisi wa Mozambique?
Safari yake haikuwa rahisi ilikuwa hivi hivi kama Chadema wanavyofanya mikutano wengine wanauwawa ndipo akaandika shairi "OUR PAIN"
alisema our blood shall irrigate our victory. . . .! Tutafika jamani ila damu za wanyonge zitamwagika!
A JOURNEY OF THOUSAND MILES BEGGIN WITH A STEP.
 
Ben Saanane niko Kigoma kuna mzee kaniambia kuwa watanzania hawako tayari tena kupoteza fursa ya wazi ya kuleta mabadiliko, Baada ya kuipoteza fursa hiyo kupitia NCCR, na imewachukua miaka mingi sana kuipata Chadema, hawawezi tena kuipoteza hii fursa, wako nyuma ya Chadema ata any cost! Aksema hakuna mtu alikuwa mwanasiasa maarufa hapa Kigoma kama Walid Kaburu, lakini sasa hivi amekwisha na hakuna hata Mtu anayemkumbuka, kwahiyo amewaonya wanaoisaliti Chadema watashukiwa na ghadhabu kali ya wananchi na ndo itakuwa mwisho wa siasa zao Uchwara!
 
Last edited by a moderator:
nyie toaneni ngeu wenzenu wakizidi kujenga mahekalu na makasri huko ulaya.............
nonsense.
ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!

Tunaowatoa ngeu ni wasaliti wa jamii ya kwako! Hakuna kurudi nyuma. Kama ni majumba na wewe si ujenge yako! Period!
 
Ben Saanane niko Kigoma kuna mzee kaniambia kuwa watanzania hawako tayari tena kupoteza fursa ya wazi ya kuleta mabadiliko, Baada ya kuipoteza fursa hiyo kupitia NCCR, na imewachukua miaka mingi sana kuipata Chadema, hawawezi tena kuipoteza hii fursa, wako nyuma ya Chadema ata any cost! Aksema hakuna mtu alikuwa mwanasiasa maarufa hapa Kigoma kama Walid Kaburu, lakini sasa hivi amekwisha na hakuna hata Mtu anayemkumbuka, kwahiyo amewaonya wanaoisaliti Chadema watashukiwa na ghadhabu kali ya wananchi na ndo itakuwa mwisho wa siasa zao Uchwara!

Naunga mkono hoja!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja siku waje kukusaliti na kukugeuka kwa jina lako tu ndio utajuwa.
mohamed Mtoi
 
Last edited by a moderator:
Demokrasia yao ni ya kupiga wenzao kisa wanahoji mambo yahusuyo chama.
hawa mashua yao imeshazama tayari.......................

tuwaache wazikane wenyewe sie tuendeleze juhudi za kuhakikisha kwamba LOWASSA anachukua nchi mwaka 2015.

Jikombe Ukombolewe....

Kumbe longo longo zote kisa ni kutafuta fursa ya kujipendekeza kwa Lowassa ambaye huo urais atausikia kwenye bomba
 
Bernard Charles NARUDIA TENA,WALA SINA HOFU KABISA KWENYE HILI SUALA...KAMA UMETUMWA KWENYE CHAMA CHETU ILI UTUVURUGE,NA UPIGWE SANA!!!,NA UPIGWE KWELI KWELI!!!!!,VIJANA WETU WA BAVICHA WALA MSIRUDI NYUMA KWENYE HILI!!!!,SASA TUTAFANYAJE?,...TWENDE POLISI AMA MAHAKAMANI WAKATI WAO NDIO WALIOWATUMA??....WAPIGENI MAMLUKI KWENYE CHAMA CHETU,WAPIGENI TU,WALA MSIWE NA WASIWASI KABISA,...TUTAWATETEA KWENYE SHERIA!


 
Kauli ya Pinda naona imeanza kueleweka ndani ya CHADEMA
 
Ipo wapi demokrasia ndani ya Chadema.

demokrasia ndo kutengeneza profile feki na kupost vitu vya ndani ya chama? kama ni tatizo kwa nn asiliongelee ndani ya chama kilichomfanya apost hapa JF ndio demokrasia... mbona kwenye vikao vya chama anasifia chama!!! usaliti huu hauvumiliki ukifanywa na yoyote yule... hata akifanya mbowe, slaa, zitto, mnyika, mdee, nasari tutawatoa tu kwa kipigo!!!
 
Demokrasia yao ni ya kupiga wenzao kisa wanahoji mambo yahusuyo chama.
hawa mashua yao imeshazama tayari.......................

tuwaache wazikane wenyewe sie tuendeleze juhudi za kuhakikisha kwamba LOWASSA anachukua nchi mwaka 2015.


Ili iweje?! Naona aibu kuwa mTanzania kwa miaka yote ambayo Lowassa atakuwa Rais.
 
Namimi nasema wanaojifanya wanauchungu na taifa hili na kushinikiza maandamano na kupelekea ndugu zetu kuuwawa na polisi nao wapigwe tu tena ikiwezekana watiwe na vilema kabisa.
 
Are you really advocating kangaroo court with extrajudicial punishment as justification for the people died as a result of political squabble.

Kwa lugha nyingine unasema political process ndani ya CHADEMA is worth extrajudicial human life.

Sifahamu wewe una nafasi gani ndani ya CHADEMA lakini bandiko lako hili mtu mwenye fikra pana na hekima akili-dissect anapata garbage tupu. Nothing positive katika ukumbi wa dunia ya sasa ambayo majibu ya mkato siyo njia ya kupambana na changamoto za kisiasa.

Unawaza kinyume nyume wakati kwa sasa diplomacy process ina demand kubwa kwa sababu imechukua nafasi ya tactless process.

Kama haya ndiyo mawazo yanayokoleza siasa za CHADEMA basi is not worth joining. Only the core value of justice and democracy are causes worth fighting for within and outside political party.

Sasa CHADEMA kikiwamaliza hao "wasaliti" wa ndani halafu baadaye kitahamia nje?. This is worst than dictatorial mentality inayochagizwa na ukosefu wa majibu ya hoja mbadala kwa njia ya taratibu, kanuni, itifaki na katiba. Mtaua watu wangapi ili kutimiza jukumu lenu la kisiasa.

Haya ni mawazo muflisi kabisa katika karne hii ya 21 na aibu kubwa kwa kijana kama wewe kuwa na mawazo ya kishetani kama haya.

Kwa mawazo haya, Kama wewe ungekuwa ni Mzee Mandela ungekuwa umeishatengeneza political dissent concentration camp.
 
Mkuu Mohamedi Mtoi labda kwanza ungefafanua walau kwa kifupi "msaliti" unamaanisha nini?
Maana hizi terms zinatafsiri tofauti kulingana na muwamba ngoma
 
Last edited by a moderator:
Wakati wengine tunafikiria kuondoa CCM 2015 na kuiweka CHADEMA wapuuzi wengine wapo bussy kuusaka uenyekiti wa CHADEMA!!!!. Zitto naamini kwa namna huyu jamaa alivyoandika andiko lake basi umo, unalijua hili. Amini usiamini kuivuruga CDM kamwe hakuta kujenga bali kutakubomoa politically. Watanzania wanaipenda CDM siyo mtu kama enzi za Mrema na NCCR Mageuzi. Punguza speed kaka, umri wako unakuruhusu kwenda taratibu na kwa uhakika bila kuivuruga chama cha matumaini ya watanzania kwa sasa. CDM imefanya vizuri sana chini ya Mbowe , demokrasia siyo lazima kubadilisha watu kwenye nafasi zao bali kufanya vitu vyenye tija kwa faida ya wengi kulingana na mazingira ya Wakati uliopo. "POLITICS IS THE ART OF POSSIBLE" by Okwudiba Nnwoli (prof.).
 
Namimi nasema wanaojifanya wanauchungu na taifa hili na kushinikiza maandamano na kupelekea ndugu zetu kuuwawa na polisi nao wapigwe tu tena ikiwezekana watiwe na vilema kabisa.
Jk kapeleka wanajeshi DRC wanauliwa na waasi,taifa linanufaika vp na ile mission ya DRC..
 
Back
Top Bottom