Salute.......Are you really advocating kangaroo court with extrajudicial punishment as justification for the people died as a result of political squabble.
Kwa lugha nyingine unasema political process ndani ya CHADEMA is worth extrajudicial human life.
Sifahamu wewe una nafasi gani ndani ya CHADEMA lakini bandiko lako hili mtu mwenye fikra pana na hekima akili-dissect anapata garbage tupu. Nothing positive katika ukumbi wa dunia ya sasa ambayo majibu ya mkato siyo njia ya kupambana na changamoto za kisiasa.
Unawaza kinyume nyume wakati kwa sasa diplomacy process ina demand kubwa kwa sababu imechukua nafasi ya tactless process.
Kama haya ndiyo mawazo yanayokoleza siasa za CHADEMA basi is not worth joining. Only the core value of justice and democracy are causes worth fighting for within and outside political party.
Sasa CHADEMA kikiwamaliza hao "wasaliti" wa ndani halafu baadaye kitahamia nje?. This is worst than dictatorial mentality inayochagizwa na ukosefu wa majibu ya hoja mbadala kwa njia ya taratibu, kanunio, itifaki na katiba. Mtaua watu wangapi ili kutimiza jukumu lenu la kisiasa.
Haya ni mawazo muflisi kabisa katika karne hii ya 21 na aibu kubwa kwa kijana kama wewe kuwa na mawazo ya kishetani kama haya.
Kwa mawazo haya, Kama wewe ungekuwa ni Mzee Mandela ungekuwa umeishatengeneza political dissent concentration camp.
CC Mohamedi Mtoi na Ben Saanane
Last edited by a moderator:

