Vijana wa Arusha kama Black America

Vijana wa Arusha kama Black America

Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
 
Huyo dogo janja alikuwa anavaa ma mitumba ya chuga tangu apate pesa kawa msafi kaachana na mamitumba😂😂😂😂😂anaenda na wakati unavaa vip ni shati limepauka kiatu oversize

Makoti pambaneni na hali zenu
 
Mimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi.

Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.

Nawapongeza sana.

Nakataa hii picha kuwa ya Arusha
 
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
Ni kweli, black americans are giants
 
Nakuona kama Black American eti Bufa kwani nawe ni kijana wa Arusha laazizi..!? 😂 😂
 
Government au anybody else

Kwani kwa mfano,TRA,wakaja ofisini kwa JF,wakaleta tax bill ya 3Bilions,then DCI akamwambia tupe ID ya Bujibuji tukuachie,Melo hatoi?

Asitoe maana wewe bwana Bujibuji ni wa maana sana kuliko JF yake inayompatia kula?

Au unadhani Melo anavyosema sijui ni sawa niende mahakamani ila sitoi ID and blah blah,wewe unadhani ni kweli?

TRA hata uipeleke mahakamani kwa kodi ya kubambikwa,sheria ni ulipe kwanza ndio uende mahakamani,na mahakama ikione una haki ndio urudishiwe,wewe unadhani Melo ana liquid imekaa bure kwenye account yao 3 Bilioni ya kutoa tu free kwa TRA?Hana hiyo hela,ata trade your ID in a minute

Dont trust any human being

Any human being subjected to enough pain,loyality goes outta window...thats the LAW!

Anachoongea Melo and other JF fanatics ni nonsense
Sasa mkuu, ID ataitambuaje? Mfano mimi naweza tumia jina la kike kumbe ni wa kiume, pia hatutumii sura halisi, sasa Melo atamjuaje Bujibuji kiundani? Labda wamtafute kwa GPS!
 
Mkuu

Process ya verification ya JF unaijua au unaongea nonsense tu?

I'm sure hujui ndio maana hata wewe jina lako sio verified.

Pitia process ya verification upate verification ndio uje hapa

Mela anataka uscan ID yako,yaani kitambulisho sio nikitaja ID unafikiri ni ID ya JF,hiki kitambulisho chako unakituma kwa Melo kama attachment,yeye anakiverify huko Rita,or whatever then ndio anakupa verification tick

Sasa kama tayari ana copy ya Kitambulisho chako halisi chenye picha yako na namba,say passport au driving license au kitambulisho cha taifa,au any kitambulisho,mze umeenda na maji,Melo anaweza kukuuza for free!
umetisha kaka, umeeleza vizuri mpaka nimeelewa. Ila wewe ni Mmarekani mweusi, nishajua! Karibu TZ kaka.
 
Seema to vijana wa Arusha kwa nguo za mitumba ni nambari one
 
Tatizo una sifia sifa ambazo hasipo black America Wana miili mikubwa na wameenda hewan kama Hasheem thabiti, sasa ao vijana wako wa Arusha Wana vimwili vidogo vimekonda
Nani kaongelea saizi ya mwili??
 
Na unajua kabisa kwa serikali zetu za dunia ya tatu hizi zisizo na professionalism unaweza toa one sentensi then waziri mmoja tu akachukulia personal akaamua kuja kukutafuta,then,hivi unaelewa Melo au Asha can give out just like that?

Then still you have nothing to hide?

You have nothing to hide wakati your freedom of speech tu humu ni defined kama "kosa" kwao?

You are not that much safe na hawa watu unaodhani they have your best interest!

Achana na govt,tuseme tumegombana humu mimi na wewe of which it happens alot,then nikaamua kukutafuta ili nikudhuru,then nika offer the highest amount I can afford to Asha,she will give out your identity in one second.

Mkuu pumbu zao hapo hujabeba,JF akina Melo na Asha wamekubebea,sema usiudhi mtu tu ndio "i have nothing to hide" yako unayosemea!
Wacha kumtisha mwenzako bhana

Cc: Saint Anne
 
Back
Top Bottom