khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,147
- 1,075


ARUSHA GAN UNAZUNGUMZIA??

ARUSHA GAN UNAZUNGUMZIA??
Wewe tusifie tu machalii acha jf waendelee kutuwaza ila haina njox wala nini ntawaambia machalii tukupende mamalai.Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa


Bado sijaelewa my dearUtambulisho wa bujibuji unafahamika na if officials kitu ambacho ni hatari Sana ameweka rehani uhai na maisha yake.
Viatu vyangu vyote ni kama hivyo, ila sipo Arusha ni Songwe hii.
Yaani ndio nasikia kwako. Isije ukawa ulitapeliwa, ukapelekwa Samvu la Chole huko ukaambiwa ni DarNjoo arusha udate tunapiga pambaaa sio huko kwenu mnavaa,singeli eti truck suit dar kweli na joto lote??🤣🤣🤣
Lack of exposureHawajui huyu, wale viumbe wana tafrani sana sijui kwanini kawachagua na kuwaweka kama ni watu smart.
Huyo unaebishaba nae ni mkaxi wa Arusha kitambo tuTizama picha za mfano hapo juu, pia tembelea Arusha ujionee
Wearing style za vijana wa Arusha
Hadi rahaView attachment 1898498View attachment 1898499View attachment 1898502View attachment 1898503View attachment 1898504
Nimecheka sana aisee unavo mualert jamaa, huko alipo amepata moto, this time around yuko kama kafungiwa bandani kwenye zoo, no go area. No space to interact kwa kutukana wala kuhide coz his documents is under control.Bujibuji
Wameku verify eee?
Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!
Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!
Watch this space!
Bado unamjambisha tu 😅😅😅👏👏👏👏 nazidi kucheka this man seems to trust them kwa fact kwamba yuko na contacts zao which is necessarly not a deal kama ukimuhada mtu wa official na ukawa huku jf.Na unajua kabisa kwa serikali zetu za dunia ya tatu hizi zisizo na professionalism unaweza toa one sentensi then waziri mmoja tu akachukulia personal akaamua kuja kukutafuta,then,hivi unaelewa Melo au Asha can give out just like that?
Then still you have nothing to hide?
You have nothing to hide wakati your freedom of speech tu humu ni defined kama "kosa" kwao?
You are not that much safe na hawa watu unaodhani they have your best interest!
Achana na govt,tuseme tumegombana humu mimi na wewe of which it happens alot,then nikaamua kukutafuta ili nikudhuru,then nika offer the highest amount I can afford to Asha,she will give out your identity in one second.
Mkuu pumbu zao hapo hujabeba,JF akina Melo na Asha wamekubebea,sema usiudhi mtu tu ndio "i have nothing to hide" yako unayosemea!
Mmmh! KweliYaani ndio nasikia kwako. Isije ukawa ulitapeliwa, ukapelekwa Samvu la Chole huko ukaambiwa ni Dar
Wearing style za vijana wa Arusha
Hadi rahaView attachment 1898498View attachment 1898499View attachment 1898502View attachment 1898503View attachment 1898504
Alafu utakuta wewe ni mwanaume sasa!!!daa tanzania yanguuMimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi.
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana.
Mimi naongea kiarusha Arusha but vaa yangu ni different sanaMimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi.
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana.
Mimi mwenyewe ni WA Arusha, vipi nije PM???Mimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi.
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana.


