Midabwada Ile mishati mirefu Hadi kwenye ugoko, miraba mikubwa namba 18 wakati mguu wako ni namba tisa, Wamarekani wa wapi huvaa hivyo?Siongelei tabia, naongelea wearing style tu
Siongelei hizo comedy za ArushaMidabwada Ile mishati mirefu Hadi kwenye ugoko, miraba mikubwa namba 18 wakati mguu wako ni namba tisa, Wamarekani wa wapi huvaa hivyo?
Hata mi nilikuwa najuwa hivyo ila zile ni comedy haki nimeprove wrongMidabwada Ile mishati mirefu Hadi kwenye ugoko, miraba mikubwa namba 18 wakati mguu wako ni namba tisa, Wamarekani wa wapi huvaa hivyo?
Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa
Anamaanisha kuna mashati ya dukani, yale unakuta yametundikwa moja 150k ama 80k halafu kuna yale mashati ya mnadani/gulioni ambapo unakuta fungu la shati 8 linauzwa 3k. Hayo ndio watu wa Arusha wanavaa.

Weka pic tuwaone, tunaowajua ndio hao wenye midabwada, ndio wenye dressing code ya ArushaSiongelei hizo comedy za Arusha
Nenda mjini kaka kwa vijana serious waNaojiheshimu achana na zile comedian na wavuta bangi wa uswazi
Hawa ni waingizaji tu tena wanafanya kuigiza yale maisha ya vijana waliochoka mwili na akili... Yani ni sawa mtu avae uhusika wa wale mateja wa Dar alafu aseme hawa ndio vijana Dar es Salaam
Viatu vyao ni hivi hapa na sio hivyo.
Hilo angalizo linamfaa zaidi GentamycinBujibuji
Wameku verify eee?
Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!
Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!
Watch this space!
Maxence Melo ana namba yangu ya simu, Asha Abinala Daudi ana namba yangu, na tunafahamiana vyema kwa miaka mingi.Bujibuji
Wameku verify eee?
Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!
Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!
Watch this space!
Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa

Utaliwa kimasiharaMimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana
Mimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi