Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,413
- 5,319
Nilijua swali hili halikosiTutaamini vipi unachokisema bila picha nyigu wewe
Nilijua swali hili halikosiTutaamini vipi unachokisema bila picha nyigu wewe
Achana naye vijana wa arusha tuko vizuri ✅✅✅Weeeee koma
Niliwe kisa kusema wanavaa vizuri
😅😅😅 Mwache arifu ameyaelewa machali ya chuga, machali ya ungalimited, matejoo na sombetini mpaka kwa moromboo.Ndio maana masingle mother wanaongezeka kwa kasi kila uchao.
Sasa hao ndio kwako unaona wanaume wa kuanza nao maisha. Wakukule hadi ufike umri wa kuchoka wanakutema wanarudia wadogo zako unakuja kufungua uzi hapa wanaume wa Arusha wote ni mbwa!
Yechu yechu mwanetuMwache arifu ameyaelewa machali ya chuga, machali ya ungalimited, matejoo na sombetini mpaka kwa moromboo.
Sema chuga hamna lomoni nyingi.
😅😅😅 Kaka mambo ya mwanetu chuga hayapo huku ni chalii au arifu au jombaa au dingilai, mwanamke anaitwa mamiloo 😂 yaani huku amna mambo shazi.Yechu yechu mwanetu
How do you know!?Bujibuji
Wameku verify eee?
Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!
Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!
Watch this space!
Sahihi kabisa! He has just been threatened.Huu Uzi umenishtua juu ya uhuru wa Bujibuji na usalama wake sijui mimi
Ndio hawa?hshahshahaha
Suruali nyembambaaaaaaaMidabwada Ile mishati mirefu Hadi kwenye ugoko, miraba mikubwa namba 18 wakati mguu wako ni namba tisa, Wamarekani wa wapi huvaa hivyo?
Dah wajuba MNA wivu.Tutaamini vipi unachokisema bila picha nyigu wewe
Hawataelewa hawa.Waambie waelewe
Watu bhana duh,kwani we kuliwa ye inamuumiza wapi?Weeeee koma
Niliwe kisa kusema wanavaa vizuri