Vijana wa Arusha kama Black America

Vijana wa Arusha kama Black America

Yaani ndugu,wewe una mtrust vipi mtu mwanadamu kuhusu your own safety?

Yaani Melo akibinywa pumbu aache kutoa ID yako maana wewe ni wa maana sana kwake?

Stop this nonsense mzee!
Ila naomba pia ccm wanijibu kwanini hawataki matokeo ya urais yapingwe mahakamani?
 
Mimi sijuagi hata uzuri wa wanaume upo wapi
Ila leo hawa vijana wa Arusha nawaona wazuri sana, yani kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.

Nawapongeza sana

Siongelei tabia, naongelea wearing style tu
Ndio mavazi yetu sisi machalii
 
IMG_20210820_093038_236.jpg
 
Hata mi nilikuwa najuwa hivyo ila zile ni comedy haki nimeprove wrong
Vijana wa Arusha wanaongoza Tz kwa kutupia pamba
Ukishatupia pamba za kiamerika nini faida yake, mbali na kupendeza ambako yeyote akipangilia mavazi yake yoyote anaweza kupendeza?
 
Hizini comedy, tafuta wanaume smart wa Arusha waangalie utarudi kuwasifia
Sorry una miaka mingapi? Una chini ya 30 yrs? Sura yako na kimo chako je? Tungekuona kwa picha tungethaminisha ikiwa wamepata bahati kusifiwa na wewe, au hakuna walichopata. Weka picha yako tuione ili tuthaminishe!
 
Bujibuji

Wameku verify eee?

Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!

Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!

Watch this space!
You mean?! Are you a black american?
 
Bujibuji

Wameku verify eee?

Wana ID yako,sasa siku unavamia maslahi ya JF pahali au unatishia credibility yao hapa jukwaani then they will easily give you up to the government like a hot potato!

Melo will forever hold you by your balls sir.....siku unafukuta then the balls will be squeezed!

Watch this space!
Na ni nani ata-squeeze his balls?
 
Ulipita maeneo gani isijekua tulipishana
Btw ulikagua meno yao???
Acha ushamba, meno ya a shida gani, walipenda kuwa hivyo
Meno yameathiriwa na maji yao kuwa na fluoride kwa kitaalamu tunaita dental fluorosis, siyo jambo geni hili kwenye taaluma ya Kichwa na Meno

And this is not only Arusha Dental Fluorosis ipo sehemu nyingi duniani zenye wingi wa flouride kwenye maji yao

Sasa kama si ushamba ni nini kusema niangalie meno yao, kwamba wewe ni mjinga kiasi gani kucheka matatizo ya wenzako, wewe utashindwa cheka albinism kweli kwa ushamba wako
#GrownUp
 
Sorry una miaka mingapi? Una chini ya 30 yrs? Sura yako na kimo chako je? Tungekuona kwa picha tungethaminisha ikiwa wamepata bahati kusifiwa na wewe, au hakuna walichopata. Weka picha yako tuione ili tuthaminishe!
Peleka ujinga mbali na mimi
Kuna mtu specifically wa kusifia mtu

Ondoka kwenye uduwazi na fikra mgando, ruhusu akili yako kufikiri nje ya box
Alafu nyie ndo wale mnabaguaga watu kwa muonekano, tittle na status mkijua ukweli mnaaza kutetemeka
Kwendraaaaa
 
Ulipita maeneo gani isijekua tulipishana
Btw ulikagua meno yao???
Additional point: Haikuhusu, unaringa inajisikia una double standards kwa binadamu wenzako
Yani wewe kuzaliwa dar na Meno meupe unajiona umemaliza kila kitu
#
 
Back
Top Bottom