minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 502
- 871
Hao hata kuoga shida[emoji23]
Na wewe na visredi vyako vya kuiponda CCM ngoja wakunyakeHilo angalizo linamfaa zaidi Gentamycin
Siongelei hizo comedy za Arusha
Nenda mjini kaka kwa vijana serious waNaojiheshimu achana na zile comedian na wavuta bangi wa uswazi
Ukileta mavitu kama hivi Arusha sehemu yeyote vinauzika kuliko hata raba
Waambie bwana,kwanza tunashukuru kwa kutusemea big up kwa sana[emoji109]Hata mi nilikuwa najuwa hivyo ila zile ni comedy haki nimeprove wrong
Vijana wa Arusha wanaongoza Tz kwa kutupia pamba
Baridi kali kavaa na koti,fegi kwa fass kibiriti mkononi ni fireViatu vyao ni hivi hapa na sio hivyo. View attachment 1898527
Hii comment imenichekesha sn walah[emoji1787]Midabwada Ile mishati mirefu Hadi kwenye ugoko, miraba mikubwa namba 18 wakati mguu wako ni namba tisa, Wamarekani wa wapi huvaa hivyo?
Kwa kupenda kuvaa makoti ya mvua wakati wa jua kali ndy umarekani ?Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa
Hao ndo jamaa uliokutana nao Arusha?Wearing style za vijana wa Arusha
Hadi rahaView attachment 1898498View attachment 1898499View attachment 1898502View attachment 1898503View attachment 1898504