Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Alijisahau sio vibaya akakumbushwa ili walau iwe funzo kwa wengine kwamba cheo ni dhamana
 
Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.

Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.

Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
Kawadanganye mazuzu wenzako, Bashiru hasafishiki hata kwa dodoki la chuma.
 
Maadui anao wengi sana ikiwa ni watanzania walioshinda kwenye foreni kuamua nani awe kiongozi wao lkn yeye akawapora matumaini yao.
Harafu kuna mtu anaibuka anasema eti bashiru ni imamu wa msikitini kwa kauli zile za hovyo hovyo mpaka anakua kiongozi kwenye msikiti kazi tunayo..
 
Hakuna anayejali kiasi cha fedha anachoingiza huyo Bashiru, tunazungumzia kuaminika kwake baada ya kauli zake za kipuuzi zilizokosa busara alizotoa kipindi akiwa Katibu mkuu! Alituonyesha kuwa baada ya Musukuma huenda yeye ndio binaadamu mjinga zaidi katika ukanda wa maziwa makuu licha ya elimu aliyokuwa nayo!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana
 
Pamoja na mapungufu ambayo mengi yalitengenezwa na hayati kupeleka watendaji kutokufikiria athari za wanayotamka. Dr Bashiru ni asset kubwa sana kwa siasa za Tanzania endapo kama ataweza kurekebisha kauli zake za kibabe.

If CCM real needs reforms hawa na mzee Mndolwa wanatosha sana kuleta mabadiliko . Akili kubwa sana.
Kwanini isiwe wewe badala yake wawe wao

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hafai kabisa kupewa hata uongozi wa nyumba kumi.
Laa uongozi wa nyumba kumi umepanda sana sifa za kuupata, yaani uwe na degree tatu pamoja ya Philosophy. Uwe umefundisha chuo miaka 27, uwe na machapisho 133, uwe Mkurugenzi wa Idara ya Chuo Kikuu, uwe Katibu mkuu wa CCM uwe Katibu Kiongozi kwa muda mfupi ndio uombe ujumbe wa nyumba kumi, kweli sifa za uongozi wa nyumba kumi ZIKO JUU.
 
Hafai hata kuongoza wazoa taka
 
Umasikini ni ugonjwa mkuu unatusumbua kweli...na sasa hivi likaja jina la kufariji sijui wanyonge na wazalendo bongo kuna sanaa...
Hayo yoote ni majina ya kutupumbaza ili yusigudue ufisadi na mabaya waliyokuwa wanatutendea
 
Ameshirikiana sana na Magufuli kuuwa demokrasia yetu hafai kabisa na ana kesi nyingi za kujibu.
Upo sahihi hafai hata kidogo yule akutakiwa hata kuwepo hapo bugeni wametengeneza chuki hii yote iliyokuwepo...
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Katika Dunia kila binadamu anapitia changamoto mbali mbali, Mwl Bashiru hana shida kwani yeye anafaidika sana na maisha anayopitia kwani anapata uzoefu mwingi na kujifunza mengi hata kipato chake kimeongezeka, wenye hasara ni hawa Watz wenye roho mbaya wanaosubiria na kuombea wengine mabaya hawatafaidika na lolote zaidi ya Kuwa masikini, hao ndio wa kuwahurumia.
 
Natamani Mwal Bashiru aandike kitabu juu maisha yake ya kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru njoo ukimaliza kikao hapo Dodoma njoo huku uone tunavyokupiga mikuki
Ila mwamba na akili zako za udaktari ukaamua kujitoa fahamu kisa mtu pori?
😂😂😂😂😂😂
 
Katika Dunia kila binadamu anapitia changamoto mbali mbali, Mwl Bashiru hana shida kwani yeye anafaidika sana na maisha anayopitia kwani anapata uzoefu mwingi na kujifunza mengi hata kipato chake kimeongezeka, wenye hasara ni hawa Watz wenye roho mbaya wanaosubiria na kuombea wengine mabaya hawatafaidika na lolote zaidi ya Kuwa masikini, hao ndio wa kuwahurumia.
Potelea mbali tuambiwe masikini sijui wachimba chumvi sawa tuu ila ana adhabu ya Dunia kwa kutengeneza chuki Tanzania itamtafuna sana labda awaombe msamaha Watanzania kwa kinywa chake na hiyo karma inahama kizazi na kizazi...
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Nyumbu Kazini
 
Back
Top Bottom