Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Nenda kanawe miguuAliwafanya nini watanzania?!!
Nenda kanawe miguuAliwafanya nini watanzania?!!
Labda wewe na mke wake ndio mumuheshimu huyu mrudiNimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.
Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.
Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Huyo Mhutu hastahili heshima yoyote,yeye ndiye alileta siasa za kishenzi za kutumia vyombo vya dola kuhujumu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wizi wa kura uliokithiri kwenye uchaguzi mkuu uliopita,ni huyu aliyeleta sera za kutumia mabilioni ya kodi zetu katika mradi wa kununua wapinzani uchwara. Ni mmoja wa watu waliofanya Magufuli kuchukiwa na watu wengi.Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.
Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.
Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Tunasubiria report ya special audit ya BOTKwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.
Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.
Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.
Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Alikosea ile kauli yake kwamba tutatumia dola kubaki madarakani,
Ameonekana kigeugeu kwa sababu ya njaa , Mana amekuwa na mtazamo tofauti wakati yupo CUF na alipopata wazifa CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima muwe na povu la kutosha mnapigania maslahi yenu kupitia wapiga siasa hao...Tupo tutanunua na tutasoma pia! We subiri cha Lissu na Lema ndo utanunua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kwa vile kakuzidi wewe unadhani kamzidi kila mtu.Bashiru ndio alikwambia hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha wajinga sana aisee!
Kwa akili yangu mimi siwezi kumnanga wala kumzodoa Bashiru pale alipo.
Maisha yako yote na ukoo wako hamuwezi kumfikia Bashiru maisha yake alafu eti uko hapa unamzodoa?
Sihitaji kupigiwa simu maana wengine hmu ni maafisa vipenyo wa TISSLete hiyo picha. Na nitakupigia simu kumsuta.
Bashiru hajawahi kuwa CUF, kama unao ushahidi tuleteeni hapa au unaongea uliyosikia watesi wake wanaongea tu? Lete ushahidi.Alikosea ile kauli yake kwamba tutatumia dola kubaki madarakani,
Ameonekana kigeugeu kwa sababu ya njaa , Mana amekuwa na mtazamo tofauti wakati yupo CUF na alipopata wazifa CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ya kipumbavu kabisa hili kutoka kibaka wa uvccm,kama anakunja m11 ndiyo watu wasiseme uovu wake? Magufuli licha ya kukunja hela zaidi ya hiyo alikuwa Rais wa JMT na amesemwa na kushutumiwa itakuwa huyu Mhutu wenu? Wewe mwenyewe hapo ulipo ni maskini wa akili.[emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta huyo mtu anamdharau Bashiru, ukoo wake wote umeliwa na umasikini huku Bashiru yeye akikunja 11mlioni per month!
Vijana wa Bavicha wengi ni wajinga sana.
Wewe unamjua sana kwani unaishi ndani ya nafsi yake?Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.
Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.
Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
Haya wewe mkewe ndiye unamjua sana.Ataelewa wapi huyu!
Anamjua Bashiru kupitia account twitter ya kigogo na magroup yao WhatsApp ya bavicha
Akili zote aliziacha CUF,Anajidharau mwenyewe.mwanzo nilikuwa namuona wa mtu sana tangu ajiunge na chama chakavu amekuwa wa hovyo sana.
Alikua anatimiza kazi aliyotumwa na mwajiri wake, alaumiwe aliyemtumaNilikeleka sana siku moja namuona anazungumzia sijui kutotoka madarakani CCM kwa njia yeyote ile huku kavaa kanzu na barakashia daah nikasema anatupaka matope huyu aisee...
Hatufai unajisumbua kutaka kumsafisha na bado lile skendo la BOTPorojo zako tuu, humfahamu tunae Mzungumzia. Unaangalia jua kwa miwani ya kukinga mwanga.