Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Yaannwana mzarau wakat mwenzao anapo keti tu pale anakunja 249 K
Baadabya miaka hii 4 anatia kibindon almost 500M tsh ...
Hizo hela zake hazitakua na maana kama hakutakua na watu kama hawa wa kumkeraaa acha akererwe tuu
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
wakati anacheo alikuwa na dharau mno
 
Kwani yeye ana nini mpaka Asidharauliwe ?
 
Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.

Ulevi tu wa madaraka wa washamba na limbukeni...
 
Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.

Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.

Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
Mhh yule bashiru hapana angeligawa Taifa ndio maana kasukumwa hayo mambo ya Iman hakuna anaejua sio sahihi kuyaongelea...wewe baki na unachoamini nami ntabaki hivi hivi maana kauli zake nimezisikia mwenyewe sio kusimuliwa leo mnaibuka mnasema Ustaadhi...
 
Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Sio video tu hadi magazeti yaliandika, na hii ndo sababu kubwa watu wanamchukia , pia katika utawala wao wengi wameumizwa angalia uchaguzi mkuu na uchaguzi wa wenyeviti, alishindwa kumshauli hata mwenyekiti wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Kipindi chake wapinzani wengi wamenunuliwa, pia amechangia kuliingiza taifa hasara kwa kurudia rudia uchaguzi, na kila uchaguzi uliporudiwa CCM walishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunà kikundi kidogo kazi yake ni kuchafua watu tu na kufurahia changamoto wanazopitia watu wengine kana kwamba wao hawana changamoto! Ni kikundi cha wapigaji kilichokuwa kimedhibitiwa vilivyo na hayati JPM. Hiki kikundi kinamsifu mama kwa unafiki kikidhani kitafanikiwa kumfanya mama asitumbue wapigaji kama alivyofanya JPM!!
 
Acha kujifanya msafi ndugu.
 
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Hana cha uumini wala uaminifu bali ni mzandiki
 
Hafai kabisa kupewa hata uongozi wa nyumba kumi.
 
Ishu ya kupata au kupokea rushwa hakuna uchunguzi uliofanywa juu yake na wala hakuna tuhuma yeyote ilo tuliache sijui imam wa msikiti haimfanyi yeye kuwa mtakatifu...ingekua haya unayoyaongea angeyasimamia alipokua anapata vyeo sidhani kama angepita nyuma nyuma sasa hivi kama bado ni balozi mbona hawaanzi kumwita Balozi Bashiru...
Hana tena hiyo sifa
 
Pole sana bashiru... Umetutenda ubaya ndio maana tunafurahia anguko lako

Adui mwombee njaa bwana
 
Back
Top Bottom