Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

[emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta huyo mtu anamdharau Bashiru, ukoo wake wote umeliwa na umasikini huku Bashiru yeye akikunja 11mlioni per month!

Vijana wa Bavicha wengi ni wajinga sana.
 
Ishu ya kupata au kupokea rushwa hakuna uchunguzi uliofanywa juu yake na wala hakuna tuhuma yeyote ilo tuliache sijui imam wa msikiti haimfanyi yeye kuwa mtakatifu...ingekua haya unayoyaongea angeyasimamia alipokua anapata vyeo sidhani kama angepita nyuma nyuma sasa hivi kama bado ni balozi mbona hawaanzi kumwita Balozi Bashiru...
Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.

Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.

Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta huyo mtu anamdharau Bashiru, ukoo wake wote umeliwa na umasikini huku Bashiru yeye akikunja 11mlioni per month!

Vijana wa Bavicha wengi ni wajinga sana.
Hakuna anayejali kiasi cha fedha anachoingiza huyo Bashiru, tunazungumzia kuaminika kwake baada ya kauli zake za kipuuzi zilizokosa busara alizotoa kipindi akiwa Katibu mkuu! Alituonyesha kuwa baada ya Musukuma huenda yeye ndio binaadamu mjinga zaidi katika ukanda wa maziwa makuu licha ya elimu aliyokuwa nayo!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Bashiru alijazwa UJINGA na Mwendazake na kuaminishwa kuwa baada ya 2025 atarithishwa u-Rais wa Tanzania. Yaani nchi itoke kwa mrundi kichaa iende kwa mrundi kiburi??
 
Pamoja na mapungufu ambayo mengi yalitengenezwa na hayati kupeleka watendaji kutokufikiria athari za wanayotamka. Dr Bashiru ni asset kubwa sana kwa siasa za Tanzania endapo kama ataweza kurekebisha kauli zake za kibabe.

If CCM real needs reforms hawa na mzee Mndolwa wanatosha sana kuleta mabadiliko . Akili kubwa sana.
Kama ana dosari ya ubabe basi hafai kabisa kwenye duru za Siasa ya kistaarabu.
 
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Yaani uliyoandika na kile kinachoonekana ni mbingu na ardhi. Ni sawa hivi uje kuniambia Michael Jackson aliipenda ngozi yake nyeusi, akaitunza, akajisikia fahari kuwa mtu mweusi hali ya kuwa dunia inajua Michael Jackson alibadili rangi ya ngozi yake na hadi mauti yanamkuta alikuwa mweupe kuliko mwarabu wa Dubai!

Unachoongea kuhusu Bashiru na tulichoshuhudia akiwa Katibu mkuu Ni mbingu na ardhi! Maana tulimuona ni mtu mbabe, asie na hoja, bendera fuata upepo, mnafiki, mlafi wa madaraka, mjivuni, mwenye roho mbaya, mnafiki, hana uzalendo, mjinga, ilibaki kubeba tunguli tu awe mchawi kamili!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza kila kitu,mjini hapa ngoja waendelee kubwabwaja maneno juu ya jamaa yeye katulia anajikunjia mkanja.
Acha kuidhalilisha katuni ya prof Ndumilakuwili! Hajawahi kuwa na akili za kijinga Kama hizi zako! Watu wanazungumza mambo ya maadili wewe unazungumza kuhusu fedha, kwani akipata mshahara ndio anaacha kuwa zwazwa? Lumumba mnatumia utumbo gani kufikiri?

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
mleta uzi umekosea sana kutujumuisha wote ..ilitakiwa uwataje hao vijana kwa majina

mfano: juma,maiko,paulo..achen dharau&kejeli...
 
Yaani uliyoandika na kile kinachoonekana ni mbingu na ardhi. Ni sawa hivi uje kuniambia Michael Jackson aliipenda ngozi yake nyeusi, akaitunza, akajisikia fahari kuwa mtu mweusi hali ya kuwa dunia inajua Michael Jackson alibadili rangi ya ngozi yake na hadi mauti yanamkuta alikuwa mweupe kuliko mwarabu wa Dubai!

Unachoongea kuhusu Bashiru na tulichoshuhudia akiwa Katibu mkuu Ni mbingu na ardhi! Maana tulimuona ni mtu mbabe, asie na hoja, bendera fuata upepo, mnafiki, mlafi wa madaraka, mjivuni, mwenye roho mbaya, mnafiki, hana uzalendo, mjinga, ilibaki kubeba tunguli tu awe mchawi kamili!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Porojo zako tuu, humfahamu tunae Mzungumzia. Unaangalia jua kwa miwani ya kukinga mwanga.
 
Soma Nipashe ya Machi 7, 2020
Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Screenshot_20210430-081206.png
 
Ni mkweli ndio maana alituambia wazi chama kikiwa kwenye dola kinatakiwa kutumia dola kuendelea kubaki madarakani.
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
 
Hakuna anayejali kiasi cha fedha anachoingiza huyo Bashiru, tunazungumzia kuaminika kwake baada ya kauli zake za kipuuzi zilizokosa busara alizotoa kipindi akiwa Katibu mkuu! Alituonyesha kuwa baada ya Musukuma huenda yeye ndio binaadamu mjinga zaidi katika ukanda wa maziwa makuu licha ya elimu aliyokuwa nayo!

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Vichwa vyenu vimejaa tope!

Kwa akili zenu mnaona Bashiru kakomolewa!

Bashiru hizo nafasi hajawahi kuzipigania ila zimemfuata yeye akiwa anajipigia chaki pale mlimani. Sasa hivi yuko zake bungeni anakula milioni 11 huku akipigwa kiyoyozi.

Sasa unakuta kajitu kanakaa kwa shemeji eti nako kanamkejeli Bashiru [emoji23][emoji23][emoji23]

Bashiru pale alipo yupo kwenye mkondo wa kula na usifikiri atashuka kindezi tu hivi.
 
Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.

Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.

Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
Wewe humfahamu Bashiru. Ni kweli hakupokea rushwa ya hela akiwa UDSM lakini yuko kwenye orodha ya ma lecturers wanaopokea rushwa ya ngono kwa wanachuo wa kike.

Akiwa CCM amekubali kujengewa nyumba na Rostam Aziz. Kama unabisha wadau wataleta picha
 
Bashiru alijazwa UJINGA na Mwendazake na kuaminishwa kuwa baada ya 2025 atarithishwa u-Rais wa Tanzania. Yaani nchi itoke kwa mrundi kichaa iende kwa mrundi kiburi??
Bashiru ndio alikwambia hivyo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha wajinga sana aisee!

Kwa akili yangu mimi siwezi kumnanga wala kumzodoa Bashiru pale alipo.

Maisha yako yote na ukoo wako hamuwezi kumfikia Bashiru maisha yake alafu eti uko hapa unamzodoa?
 
Acha kuidhalilisha katuni ya prof Ndumilakuwili! Hajawahi kuwa na akili za kijinga Kama hizi zako! Watu wanazungumza mambo ya maadili wewe unazungumza kuhusu fedha, kwani akipata mshahara ndio anaacha kuwa zwazwa? Lumumba mnatumia utumbo gani kufikiri?

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sasa wewe mwenye akili kubwa sana! Kwahiyo Bashiru pale alipo kakomeshwa sana et ee?
 
Back
Top Bottom