Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 21,853
- 44,910
Kwa hiyo ujui alipewa cheo cha Mzee Kijazi katibu kiongozi na ubalozi siku hiyo hiyo...Alikuwa balozi kwenye nchi ipi?
Kwa hiyo ujui alipewa cheo cha Mzee Kijazi katibu kiongozi na ubalozi siku hiyo hiyo...Alikuwa balozi kwenye nchi ipi?
Sikujuwa! Kwa hiyo anasubiri kupangiwa nchi ya kwenda? Au na ubalozi umeyeyuka?Kwa hiyo ujui alipewa cheo cha Mzee Kijazi katibu kiongozi na ubalozi siku hiyo hiyo...
Alichowafanyia watanzania hatokaa awe salama moyoni na bahati mbaya aliyemtegemea ndiyo kashaitwa na Mungu.Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.
Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.
Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Nimekuelewa baadae daah leo bongo yangu imelala ila vijana wanapiga picha aisee yaani akigeuza shingo tuu sijui wanatumia Nikon 5200, 18mm -300mm lens maana picha zote zina ubora...Sikujuwa! Kwa hiyo anasubiri kupangiwa nchi ya kwenda? Au na ubalozi umeyeyuka?
Dhambi ya wizi wa kura na kuwanunua wapinzani akiamini ndiyo anaua upinzani itamtafuna miaka yoote ya maisha yake hapa duniani.Alikosea ile kauli yake kwamba tutatumia dola kubaki madarakani,
Ameonekaga kigeugeu kwa sababu ya njaa , Mana amekuwa na mtazo tofauti wakati yupo CUF na alipopata wazifa CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwizi wa kura na kuharibu uchaguziBashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Hawezi kuenziwa kwa madhambi aliyo yafanyaSiku zote ukiusimamia ukweli hautakusaliti!
Hata kama watu waovu wakikuchukia ukiwa mamlakani.
Watu wema na wengi, watakuthamini hata unapokuwa nje ya mamlaka.
Nadhani alikiuka misingi hii, usiwalaumu vijana wa ccm ni msingi huu unamuadhibu
Ameshirikiana sana na Magufuli kuuwa demokrasia yetu hafai kabisa na ana kesi nyingi za kujibu.Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.
Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.
Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Naona alichanganya akachukua wa Jah people badala ya wakwakeKwani ulisahau kuuchukua ubongo wako kwa mwenda zake?
Akili zako zinaongozwa na njaaa.Yaannwana mzarau wakat mwenzao anapo keti tu pale anakunja 249 K
Baadabya miaka hii 4 anatia kibindon almost 500M tsh ...
Heshima na kuacha athari ndio kimuhimu kwa anaejitambua kuna waliondoka na zaidi ya hiyo 500M wakaishia kudhalilika mitaani hunawaona wabunge waliokufa kwa kushindwa hata kujitibu?Yaannwana mzarau wakat mwenzao anapo keti tu pale anakunja 249 K
Baadabya miaka hii 4 anatia kibindon almost 500M tsh ...
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.Hivi alivuliwa na ubalozi mbona hutumii balozi tena ? Mwalimu hatakiwi kurudi darasani atadaka kweli vijana wetu..ile nguvu aliyokua nayo akiongea imepotea kabisaa..
Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Ishu ya kupata au kupokea rushwa hakuna uchunguzi uliofanywa juu yake na wala hakuna tuhuma yeyote ilo tuliache sijui imam wa msikiti haimfanyi yeye kuwa mtakatifu...ingekua haya unayoyaongea angeyasimamia alipokua anapata vyeo sidhani kama angepita nyuma nyuma sasa hivi kama bado ni balozi mbona hawaanzi kumwita Balozi Bashiru...Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.
Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.
Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.
Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Sio hiyo tu na ule ujasiri wa kumwambua mama ajiuzulu umakamu rais,ndio imemletea fedheha yote hiiAlikosea ile kauli yake kwamba tutatumia dola kubaki madarakani,
Ameonekaga kigeugeu kwa sababu ya njaa , Mana amekuwa na mtazo tofauti wakati yupo CUF na alipopata wazifa CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gerald .M MagembeKwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.
Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.
Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.
Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Angalia dk 45 itv akiwa na Farhia MiddleBashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.