Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Alipokuwa anasimamia zoezi la kununua wapinzani akina Ali Mtulia, Silinde, Mollel, Gekul na wenzie kuna fungu la fedha lililkuwa linarudi kwao wanagawana na Polepole
 
Wewe humfahamu Bashiru. Ni kweli hakupokea rushwa ya hela akiwa UDSM lakini yuko kwenye orodha ya ma lecturers wanaopokea rushwa ya ngono kwa wanachuo wa kike.

Akiwa CCM amekubali kujengewa nyumba na Rostam Aziz. Kama unabisha wadau wataleta picha
Lete hiyo picha. Na nitakupigia simu kumsuta.
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Kwani ilikuaje mpaka ifikie hatua ya dharau?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mzalendo wewe endelea kukomaa na maadili ngoja wajanja watolee macho mapato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini unataka nionekane mtu wa hovyo kuwa sijali kipato? Unanikosea sana!
 
Kwa akili zenu mnaona Bashiru kakomolewa!

Bashiru hizo nafasi hajawahi kuzipigania ila zimemfuata yeye akiwa anajipigia chaki pale mlimani. Sasa hivi yuko zake bungeni anakula milioni 11 huku akipigwa kiyoyozi.

Sasa unakuta kajitu kanakaa kwa shemeji eti nako kanamkejeli Bashiru [emoji23][emoji23][emoji23]

Bashiru pale alipo yupo kwenye mkondo wa kula na usifikiri atashuka kindezi tu hivi.
Kwamba ukikaa kwa shemeji unatakiwa kuwa mjinga mjinga? Yaani ukiwa halipwi 11m unatakiwa kuwa na akili za kinungayembe? Unaongea nini? Kumbe huwa ujinga wenu upo associated na umasikini wenu, fanyeni kazi labda mkipata hela mtapata akili
 
Sasa wewe mwenye akili kubwa sana! Kwahiyo Bashiru pale alipo kakomeshwa sana et ee?
Hajakomeshwa ila kapewa anachostahili! Then sihitaji Bashiru akomeshwe bali awekwe panapomfaa kwa ujinga wake angetuharibia chama chenu "tukufu" cha CCM, au unasemaje?
 
Kosa lake kubwa ni kuhakiki mali za nambari wani nchi nzima, zikiwemo viwanja majengo miradi mbalimbali alizipa namba zikasajiliwa na kuingiza katika mfumo ambao zilitoka mikononi mwa wajanjawajanja waliokuwa wanazifaidi kama mali zao, sasa watu hao na familia zao wamekosa ulaji unadhani watampenda?
 
Kwamba ukikaa kwa shemeji unatakiwa kuwa mjinga mjinga? Yaani ukiwa halipwi 11m unatakiwa kuwa na akili za kinungayembe Kama Lumumba buku Saba? Unaongea nini? Kumbe huwa ujinga wenu upo associated na umasikini wenu, fanyeni kazi labda mkipata hela mtapata akili
Mwenye akili timamu hawezi kumzodoa Bashiru eti kakomeshwa! Kakomeshwaje?

Mtu familia yako nzima umasikini mtupu ila uko hapa unamzodoa Bashiru?

Hebu niambie unamfikia Bashiru maisha yake hata robo?

Mnavyomkejeli si kwa maana ya maadili ya uongozi ila ni wivu na umasikini wenu tu
 
Hajakomeshwa ila kapewa anachostahili! Then sihitaji Bashiru akomeshwe bali awekwe panapomfaa kwa ujinga wake angetuharibia chama chenu "tukufu" cha CCM, au unasemaje?
Angeharibu vipi sasa? Panapostahili ni wapi na kwanini?
 
Tutatengeneza ubishi usio na maana, kati ya wewe unamfikiria kwa kumdhania, na mimi ninaye mfahamu kwa hakika.

Kwa uzee wangu Mimi ni magumu sana kusifia kitabia kwa sababu nimeona wengi na binadamu tabia hubadilika, kwa umri wake na anazidi kumsujudia mungu wake, anaishi kwa haki na imani, kwa matendo hakuna cha kubadilika tena kwa Dr. Bashiru.

Anaishi maisha ya kuridhika, kumtii mungu wake na hata kama hana mali nyingi.
Nina swala la PSSSF huu unaenda mwaka wa nne naomba uniunganishe Na Dr. Bashiru anisaidie
 
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Vipi kuhusu nafuu ya kubaki madarakani kwa chama tawala kwa kutumia dola? Huo ndo uadilifu? Yaani wananchi wakikatae chama then itumike dola kukilinda chama huo ndo uadilifu?
 
Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.

Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.

Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.

Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]

Bashiru alivunja vunja walaji wa chama na kuhakikjsha mali za CCM zinakuwa za ccm kwa uwazi

Chuki kubwa iko hapa
 
Sijui political science ya wapi inasema kwenye demokrasia vyombo vya dola vinatumika kubakisha chama cha siasa madarakani!

umeamua kurithi chuki

hao wengine washakufanyia makubwa sirini
 
Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Vijana wamekuwa brainwashed eti bashiru mbaya,,bashiru hskuwahi kulewa madaraka kama sampuli ys akina pokepole
 
Bashiru alivunja vunja walaji wa chama na kuhakikjsha mali za CCM zinakuwa za ccm kwa uwazi

Chuki kubwa iko hapa
Inasikitisha sana kuona kuna waja humu walafi wasio na lolote kuonyesha kwenye jamii wakifurahia anguko la Bashiru.
Bashiru alipofika plus hulka yake hawezi kuanguka kamwe
 
Back
Top Bottom