Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Vijana punguzeni dharau kwa Mwalimu Bashiru

Potelea mbali tuambiwe masikini sijui wachimba chumvi sawa tuu ila ana adhabu ya Dunia kwa kutengeneza chuki Tanzania itamtafuna sana labda awaombe msamaha Watanzania kwa kinywa chake na hiyo karma inahama kizazi na kizazi...
Yeye alikua Anafanya kazi aliyotumwa na bosi wake kwa hio wakulaumiwa ni bosi wake sio yeye.
 
Yeye alikua Anafanya kazi aliyotumwa na bosi wake kwa hio wakulaumiwa ni bosi wake sio yeye.
Nilikeleka sana siku moja namuona anazungumzia sijui kutotoka madarakani CCM kwa njia yeyote ile huku kavaa kanzu na barakashia daah nikasema anatupaka matope huyu aisee...
 
Akili zako zinaongozwa na njaaa.
Yaani umyukuze mwoovu kisa analipwa fedha nyingi?

Wewe naona upo tayari kumpongeza na kumtukuza mwizi na jambazi au hata dikiteeta kisa anamali nyingi.
Hujui ata ulichosimamia ni nini?!!kwa akili zako hizi unakuta kuna watu wanakutegemea?!!
Unamlaumu sheikh aliekula kitimoto!!!uku unampongeza alierost iyo kitimoto!!! Unayalaumu majini kukuingilia uku unampongeza aliekutupia hayo majini...kazi kwelikweli.
 
Heshima na kuacha athari ndio kimuhimu kwa anaejitambua kuna waliondoka na zaidi ya hiyo 500M wakaishia kudhalilika mitaani hunawaona wabunge waliokufa kwa kushindwa hata kujitibu?
Utu Heshima na uzalendo wa kweli ndio Muhimu
Ukiondoa Hayati Nyerere kwenye iyo CCM, nani mwingine kwenye icho chama!! aliwahi kuwa mzalendo wa nchi hii?!! Unamponda sheikh mkuu kwa kula kitimoto!!uku unampongeza alierost iyo kitimoto!!!
 
Maskini wengi wanawaza namna hii kwamba Hela nikilia kitu unadhani alipokuwa Chuo anafundisha hakuwa na Hela

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Sasa ww na umaskin wako utamwambia nini ww Dkt. Bashiru maanankakuzidi almost kila kitu ..ifike mahala mjifunze kuwaheshimu hawa viongozi
 
Kwa mfumo wa maisha wa Dr, Bashiru ni vigumu sana kupoteza ubalozi.

Kwanza wengi hawafahamu Dr, Bashiru kwa muda mrefu wa maisha yake amekuwa imam wa misikiti kadhaa.

Mwaminifu, mwadilifu, mtiifu, mwerevu, Ana silka ya uongozi, Mkweli, myenyekevu kwa silka na kwa matendo. Kanyooka kwa tabia na matendo, hajawahi kutoa wala kupokea rushwa hata kama kwa kufanya hivyo kuna opportunity atakosa. . Dr. Bashitu na wale watoto wa mjini mnawaita mnoko.

Haya mamitandao watu wanaweza wakaandika wanavyofikiria wao na ukapata picha tofauti ya tabia ya kiongozi kinyume na alivyo. .
Sifa zote ulizo sema kuhusu Balozi dk Bashiru uko sahihi kabisa,sipingani na wewe.ila swala la kuwa amewahi kuwa imamu wa misikiti kadhaa napingana na wewe,namjua dk Bashiru kifamilia,ni mtu mwema mwadilifu mume wa mke mmoja na watoto watatu.
Ila hajawahi kuwa imamu wala mwalimu wa madrasa!!ni muumini wa kawaida wa dini ya kiislamu.
 
Hujui ata ulichosimamia ni nini?!!kwa akili zako hizi unakuta kuna watu wanakutegemea?!!
Unamlaumu sheikh aliekula kitimoto!!!uku unampongeza alierost iyo kitimoto!!! Unayalaumu majini kukuingilia uku unampongeza aliekutupia hayo majini...kazi kwelikweli.
Bashiru hafai na ataendelea kupuuzwa na kudharauliwa kwa matendo yako maovu.
 
Sifa zote ulizo sema kuhusu Balozi dk Bashiru uko sahihi kabisa,sipingani na wewe.ila swala la kuwa amewahi kuwa imamu wa misikiti kadhaa napingana na wewe,namjua dk Bashiru kifamilia,ni mtu mwema mwadilifu mume wa mke mmoja na watoto watatu.
Ila hajawahi kuwa imamu wala mwalimu wa madrasa!!ni muumini wa kawaida wa dini ya kiislamu.
Ungemwacha akaendelea kumwaga upupu tu
 
Dalali wa waunga juhudi.Badala ya kununua madawati wananua malaya wa kisiasa hii mbaya sana matumizi mabaya ya Kodi zetu.
 
Aliowadalalia wengi wamemzidi ni mawazili wengine ni manaibu
 
Back
Top Bottom