Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
Umetisha sana mkuu kipindi hicho anaongea kila anachojisikia kusema maana alikuwa na ulinzi wa kutisha.Soma Nipashe ya Machi 7, 2020
Umetisha sana mkuu kipindi hicho anaongea kila anachojisikia kusema maana alikuwa na ulinzi wa kutisha.Soma Nipashe ya Machi 7, 2020
Hafai kabisa kwenye jamii ya watu wenye ustaarabu na kujiheshimuAnajidharau mwenyewe.mwanzo nilikuwa namuona wa mtu sana tangu ajiunge na chama chakavu amekuwa wa hovyo sana.
Umeonaeeeeee?Bashiru kama bashiru ni yule wa chini ya 2015 ,bashiru wa CUF ,huyu wa sasa dalali wa wanasiasa na mpigaji wa 180b mwache watu wamdharau.
Lakini kwani alisema uongo?Unabisha kwamba hakusema? Maana kama unafuatilia siasa na hukusikia unaleta mashaka
Mbona ndivyo hali ilivyo sasa!Sijui political science ya wapi inasema kwenye demokrasia vyombo vya dola vinatumika kubakisha chama cha siasa madarakani!
Nigekuwa mimi ndio mama, ningemrudishie Ukatibu Mkuu wa CCM Bashiru, bila Bashiru CCM ingekuwa hoi bin taabuni kiuchumi na ingebaki omba omba kwa akina MO wachangie pesa, Bashiru alionyesha uthubutu wa kukata mizizi ya majizi ambayo yalitumia nyadhifa zao kupora mali za CCM, nani aiyejua madudu waliyoyafanya Kinana na Makamba walipokuwa makatibu wakuu wa CCM, walivyoifisadi na kujimilikisha mali za CCM ?. Hao wanaomdharau Bashiru ni WIVU tu unaowasumbua kwa kuwa kwa njia moja au nyingine aligusa maslahi yao na wapambe wao. Bashiru ni jiwe lilowekwa pembeni na waashi.Nimekuwa Nikiona Vijana Wengi Wakituma picha za Mwalimu Bashiru Na Kuandika Maneno Ya Dharau na Kejeli juu yake.
Tupunguze dhihaka na Dharau Kwa Mwalimu Bashiru, Wakati Bashiru Akiwa SG Wa CCM Wala Hakuwa Mtu Wa Majigambo Kama Watangulizi Wake.
Aliwahi kuwakemea hadharani Viongozi Vijana Kama Nape, Makonda, Hapi Kwamba Wakajifunze Siasa na Uongozi Lakini leo Vijana Tena Wa CCM Mnatuma Picha Mkimdhiaki na Dharau Juu.
Vijana Msipomheshimu Mwalimu Bashiru Kwa Cheo Chake Cha Ukatibu Mkuu Mstaafu au Cheo Cha Ubunge Wake, Basi Mheshimuni Hata Umri Wake [emoji120][emoji120]
Hivi upinzani umeisha nufaika nini tangu Bashiru apoteze vyeo vyake vingine na kupangiwa vyeo vingine? Maana inaonyesha kana kwamba wapinzani wamerudishiwa kura wanazodai Bashiru aliwaibia! Kana kwamba sasa wabunge wao wote aliowanyang'anya ushindi Bashiru, sasa wameshinda!Dhambi ya wizi wa kura na kuwanunua wapinzani akiamini ndiyo anaua upinzani itamtafuna miaka yoote ya maisha yake hapa duniani.
Anaitwa.: Mheshimiwa, Balozi, Dr. Bashiru Ally Kakurwa.Ishu ya kupata au kupokea rushwa hakuna uchunguzi uliofanywa juu yake na wala hakuna tuhuma yeyote ilo tuliache sijui imam wa msikiti haimfanyi yeye kuwa mtakatifu...ingekua haya unayoyaongea angeyasimamia alipokua anapata vyeo sidhani kama angepita nyuma nyuma sasa hivi kama bado ni balozi mbona hawaanzi kumwita Balozi Bashiru...
Hivi wewe uligombea ubunge kupitia upinzani nini? Pole! Jaribu tena 2025 Nafikiri Dr. Bashiru hata husika tena.Hakuna anayejali kiasi cha fedha anachoingiza huyo Bashiru, tunazungumzia kuaminika kwake baada ya kauli zake za kipuuzi zilizokosa busara alizotoa kipindi akiwa Katibu mkuu! Alituonyesha kuwa baada ya Musukuma huenda yeye ndio binaadamu mjinga zaidi katika ukanda wa maziwa makuu licha ya elimu aliyokuwa nayo!
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu pale mchonganishi tuu...Anaitwa.: Mheshimiwa, Balozi, Dr. Bashiru Ally Kakurwa.
Kama hilo hulijui, lijue sasa!
Point yangu sio mantiki ya kauli, nashangaa mtoa mada anataka ushahidi wa hii kauli, as if haikusemwa. Na kama haijui, basi asije humu kumuongelea Bashiru, maana atakuwa ni mtu shalllow sana.Lakini kwani alisema uongo?
Ni lini CCM hawakutumia dola kubaki madarakani?
Hata kabla ya bashiru kuwepo walitumia dola vile vile.
Alichofanya bashiru ni kuupasua ukweli...... Ulitaka aseme nini?
Kwamba Chadema wataingia ikulu? Shabash!
Bashiru hapendwi na wana ccm wanaojitambua.Hivi upinzani umeisha nufaika nini tangu Bashiru apoteze vyeo vyake vingine na kupangiwa vyeo vingine? Maana inaonyesha kana kwamba wapinzani wamerudishiwa kura wanazodai Bashiru aliwaibia! Kana kwamba sasa wabunge wao wote aliowanyang'anya ushindi Bashiru, sasa wameshinda!
Kutokana na mwenendo huu inaonyesha Dr. Bashiru anauwezo mkubwa na anaogopwa sana na wapinzani! Mpaka inafika sasa wapinzani wanaungana na CCM kisa Dr. Bashiru. Dr Bashiru hi, Dr. Bashiru hai, hai! (in Zuchu's voice).
Kwa hiyo mtu ambaye hajawahi kugombea ubunge hawezi kuwa na fikra chanya kama zangu inabidi awe na fikra mgando kama zako? Acha ubumundaHivi wewe uligombea ubunge kupitia upinzani nini? Pole! Jaribu tena 2025 Nafikiri Dr. Bashiru hata husika tena.
Hata mimi namuona Bashiru ni mtendaji mwenye uthubutu na akipewa nafasi nyingine atafanya mambo makubwa.Nigekuwa mimi ndio mama, ningemrudishie Ukatibu Mkuu wa CCM Bashiru, bila Bashiru CCM ingekuwa hoi bin taabuni kiuchumi na ingebaki omba omba kwa akina MO wachangie pesa, Bashiru alionyesha uthubutu wa kukata mizizi ya majizi ambayo yalitumia nyadhifa zao kupora mali za CCM, nani aiyejua madudu waliyoyafanya Kinana na Makamba walipokuwa makatibu wakuu wa CCM, walivyoifisadi na kujimilikisha mali za CCM ?. Hao wanaomdharau Bashiru ni WIVU tu unaowasumbua kwa kuwa kwa njia moja au nyingine aligusa maslahi yao na wapambe wao. Bashiru ni jiwe lilowekwa pembeni na waashi.
Tafsili - maana yake Nini? Na wewe hujui madudu tu.Hujui tafsili ya maneno ndo maana mnashindwa kwa uelewa wenu.
Mrunndi ana kibri Sana yule na hivi Mwendazake alikuwa mrundi mwenzie wakajua watapikezana UDIKTETAUmetisha sana mkuu kipindi hicho anaongea kila anachojisikia kusema maana alikuwa na ulinzi wa kutisha.
Alichokosea yeye ni kwamba baada ya kuwashugulikia hao unaowataja na alipofika juu kawaacha as if hawana madhara kwake,na network nzima nafikiri hakuitambua ukubwa wake,alishindwa hata kujua kuwa nguvu yake ni mweyekiti wake tu,nje ya hapo yeye ni nobody.Nigekuwa mimi ndio mama, ningemrudishie Ukatibu Mkuu wa CCM Bashiru, bila Bashiru CCM ingekuwa hoi bin taabuni kiuchumi na ingebaki omba omba kwa akina MO wachangie pesa, Bashiru alionyesha uthubutu wa kukata mizizi ya majizi ambayo yalitumia nyadhifa zao kupora mali za CCM, nani aiyejua madudu waliyoyafanya Kinana na Makamba walipokuwa makatibu wakuu wa CCM, walivyoifisadi na kujimilikisha mali za CCM ?. Hao wanaomdharau Bashiru ni WIVU tu unaowasumbua kwa kuwa kwa njia moja au nyingine aligusa maslahi yao na wapambe wao. Bashiru ni jiwe lilowekwa pembeni na waashi.
Alipopewa cheo fulani alisema kinamtosha na atakuwa mlafi akipewa kingine na kukubali.Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Pia alikana msimamo wake wote wa Katiba ya Wananchi baada ya kuingia CCM.Bashiru hajawahi Kuwa Mwenye njaa na Tamaa. Ebu lete hyo clip anayosema tutatumia Dola kubaki Madarakani.
Kosa la Bashiru sio kauli za kibabe,bali hana msimamo akiona mbele kuna Ugali na Kuku.Pamoja na mapungufu ambayo mengi yalitengenezwa na hayati kupeleka watendaji kutokufikiria athari za wanayotamka. Dr Bashiru ni asset kubwa sana kwa siasa za Tanzania endapo kama ataweza kurekebisha kauli zake za kibabe.
If CCM real needs reforms hawa na mzee Mndolwa wanatosha sana kuleta mabadiliko . Akili kubwa sana.