Vijana nyie wajinga sana

Vijana nyie wajinga sana

Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .

Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
Muongo, tapeli ,mzandikiiiii
 
Si alewe baada ya kupeleka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom