Vijana nyie wajinga sana

Vijana nyie wajinga sana

Kwa haraka haraka nilidhani n kiboko, ila nikashangaa mtu anawezaje kubeba Kiboko, nikajiongeza nikasema atakuwa nguva huyo 😎
Nguva umbo no nane, sio hilo la chura! Ila una dhambi ww!😅
 
Mkuu msg zangu huzión Dm Yako au unataka na mm niwe chawa jamani? Nipe huo mchongo... Mimi sinywi pombe ila nachakata Mbumbusu kwa tahadhali.🤭🤭
 
Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .


Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
ukipata ya udereva wa gari kubwa nistue ila sitaki test we ukiiona lecen,
 
Haya bc karibu ofisini kwetu, tupo chanika mkabala na msikiti wa mjini kati 😎
Mnauza nini? Maana nilivyo chubby na sitaki watu wengi ujue🌚
9CFD4406-A165-4426-B8BA-BFF14CCA8542.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom