kumbe mna changamoto sawa na zinazofanana gentleman?š¤£Nilipo nahangaika kumsaidia kwa sababu shida yake ni ulevi kama mimi tu , chawa wewe
Sawa tajear... ila ungeweka na "baadhi ya " ingependezaKuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt
hii haihusiani na hoja mahususi mezani ee gentleman, right?šKama ccm mlivotutenda wananchi.
š¤£š¤£š¤£,huyo dogo akafuata mkumbo wa katoroš,AI mkali 𤣠x unatumia jina gan vile
Rudi ukalipue kwenye ule uzi naona bado watu wanatokwa povu na jasho kwa pamojaš¤£Mambo yasiwe mengi,View attachment 3629824pesa ya bosi.
Bwashee unajua humu JF kuna watu wamesha jikatia tamaa ya maisha kabisa,kila kitu ambacho yeye hakiwezi basi anajiaminisha kua na wengine pia hawakiwezi,Hapna bwashee š
š¤£š¤£š¤£š¤£,watu wa dar wamevamia Uzi,wampangia tajeer jinsi ya kutumia pesa zake.Rudi ukalipue kwenye ule uzi naona bado watu wanatokwa povu na jasho kwa pamojaš¤£
Hahaah ni kwel bwashee ila pia naona wapo sawa tuš mimi pia ni mdau wa kukosoa sana acha ninywe hicho kikombeš¤£Bwashee unajua humu JF kuna watu wamesha jikatia tamaa ya maisha kabisa,kila kitu ambacho yeye hakiwezi basi anajiaminisha kua na wengine pia hawakiwezi,
Kila uzi utamsikia anasema ni chai! Hii mara nyingi hua ni dalili ya watu waliokata tamaa ya maisha!
Wasukuma wapo robo tatu ya Tz afu mshamba kakazana kutukana kabila kama kawatembelea wote nyoko zake!šš®š¤£š¤£š¤£š¤£,watu wa dar wamevamia Uzi,wampangia tajeer jinsi ya kutumia pesa zake.
cc Hance Mtanashati kila mada yeye ni chai tuBwashee unajua humu JF kuna watu wamesha jikatia tamaa ya maisha kabisa,kila kitu ambacho yeye hakiwezi basi anajiaminisha kua na wengine pia hawakiwezi,
Kila uzi utamsikia anasema ni chai!
Hii mara nyingi hua ni dalili ya watu waliokata tamaa ya maisha!
Mie napita kimya kimyašš,maana watu Wana stress,,Wasukuma wapo robo tatu ya Tz afu mshamba kakazana kutukana kabila kama kawatembelea wote nyoko zake!šš®
Zipo baadhi ya mada ambazo ni wazi hua zinaonekana ni chai.Hahaah ni kwel bwashee ila pia naona wapo sawa tuš mimi pia ni mdau wa kukosoa sana acha ninywe hicho kikombeš¤£
Yani mtu anafoka mpaka povu linakurukia, kutafuta zake aanhh! Anaonea wivu wanaume wenzie wakitafuta pesa!š¤£Mie napita kimya kimyašš,maana watu Wana stress,,
Inasikitisha sana mkuu š
Mkuu, hii ishu c tulishamalizana, mbona unakuja kunitangaza hadi huku tena broKuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta pesa pungufu na kalewa vibaya sana , nikamwamba mtimue .
Hivyo kwanza humu kausheni kuniomba connection , mpaka mpate akili timamu gademitt