Usafiri unamaanisha upi Mzee.??.Kama ni city buses usafiri wa kituo to kituo mara nyingi ni 20-27SEK kwa mtu mzima pia inategemea na mji na card Yako Kama unapunguzo ama la inaweza ikashuka Zaid ya hapo..kMleta mada mbona hapa hujanijibu?
N:b hiyo ni mim Mzee Ila Kuna maeneo ambayo ni cheaper Zaid na Zaid .Mleta mada mbona hapa hujanijibu?
Wanafiki tuUpo wapi na tunafikaje huko? Maanake unatunanga tu bila kutuambia tupite wapi.
🤣 🤣 🤣Uhamiaji ni kama wamefunga nchi.
sasa hyo 21milionis ndy ya kupost viza cards na balance aliyonayo bank?Almost mil 21 hongera mkuu
Mkuu huyo ni ya miezi miwili nikipost ya mwaka mzima si utakalia chupa kwa Wivu..!!hahahasasa hyo 21milionis ndy ya kupost viza cards na balance aliyonayo bank?
angekuwa na 100 milioni si angepost sehem zake za siri kabisa?
Ila hio pesa sindio vijana wananunulia Subaru huku kila kukicha😅Almost mil 21 hongera mkuu
Bongo hilo sahahu😅 watu wanataka wakitusua wakuringishie 😅 kwamba wao washachomoka kimaisha we upewe elfu 10/20 wakati unaendelea na msoto!Ifike kipindi wa Tanzania tuwe kama wezetu wa Naingeria tubebane tupeane michongo...mwisho wasiku tuje tulisaidie Taifa letu...
Mimi sisikilizi maneno ya watu.-Mwezi wa sita uliambiwa alizeti dili.
Ukadhamiria kudeal na alizeti.
-Mwezi wa saba ukaambiwa maharage ya njano dili.
Ukaachana na alizeti ukadhamiria kudeal na maharage ya njano.
-Mwezi wa nane mwanzoni ukaambiwa vanila ni bonge la dili. Kilo 1 ni 1M.
Ukaamua kuachana na dili zote mpaka dhambi ili ushughulike na vanila.
-Mwezi wa nane mwishoni unaambiwa unapoteza muda bongo njoo sweden.
Alooo kama una bunduki unawasaka waliokupa maneno tangu mwezi wa sita kuwauliza kwanini wamekuchelewesha sana
We jamaa swala LA kuunga mkono juhudi ulimuachiaga Mungu aiseesasa hyo 21milionis ndy ya kupost viza cards na balance aliyonayo bank?
angekuwa na 100 milioni si angepost sehem zake za siri kabisa?
Jibu swali hili Mkuu.Najua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.
Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz
Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.
Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,
UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.
View attachment 1911080View attachment 1911081
Kama Ni hivyo Imani yangu ndogoWe jamaa uliletaga uzi hapa ukilia lia unataka kurudi bongo...
Sasa hivi mambo yametiki..sasa toa connection vijana waje huko.