Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

Status
Not open for further replies.
-Mwezi wa sita uliambiwa alizeti dili.

Ukadhamiria kudeal na alizeti.

-Mwezi wa saba ukaambiwa maharage ya njano dili.

Ukaachana na alizeti ukadhamiria kudeal na maharage ya njano.

-Mwezi wa nane mwanzoni ukaambiwa vanila ni bonge la dili. Kilo 1 ni 1M.

Ukaamua kuachana na dili zote mpaka dhambi ili ushughulike na vanila.

-Mwezi wa nane mwishoni unaambiwa unapoteza muda bongo njoo sweden.

Alooo kama una bunduki unawasaka waliokupa maneno tangu mwezi wa sita kuwauliza kwanini wamekuchelewesha sana
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Majina matatu anayajua?
 
Vp kuhusu address ya card holder?! Alafu siku hizi ukifanya manunuzi makubwa online bank wanakutumia notification.
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.

Stori za kijiweni hzo unadhani pesa n rahisi hvyo Yan niokote kadi ya bank fasta niende online kufanya manunuzi eti kisa zile details za kadi unaziona.

Bank sio wajinga Kama watanzania ingekuwa hvyo maisha yangekuwa marahisi Sana.

Kuna zaidi ya taarifa zinatakiwa zaidi ya maelezo ya nje ya hyo kadi.
 
Basi usikasirike.
 
Najua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.

Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz

Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.

Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,

UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.

View attachment 1911080View attachment 1911081

Nakuunga mkono vijana wa kitanzania wajifunze kufunguka wajitoe kwa kesho yao hata Burundi tuu watesti
IMG_20210827_143019_6.jpg
 
Uvivu,Wivu ,fitina ,roho mbaya na ulimbukeni vinatufanya wabongo tuzidi kuwa mafala wa ulimwengu

Mwisho wabongo kuondoka au kubebwa ni miaka 250 iliyopita
Hulka ya kusafiri hakuna kabisa
Kufanya kazi kwa bidii hawataki wengi
Halafu wakija wahamiaji kwao wakipigwa bao wanaanza hiyo Roho mbaya

Njia nyingi zipo ila ni maamuzi tu vijana acheni woga
Najua kusafiri inahitaji michongo ila wa Tz hapana
Bora umuulize wa Taifa lingine kama hustlers wa kisomali
 
Najua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.

Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz

Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.

Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,

UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.

View attachment 1911080View attachment 1911081
Utushukuru tuliokupa maneno makali ulipotaka kujilegeza urudi Bongo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom