Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

Status
Not open for further replies.
Bongo hakufai.
20210827_133237.jpg
 
Halafu itakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi?
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
 
Najua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.

Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz

Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.

Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,

UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.

View attachment 1911080View attachment 1911081
Kr ni currency ya nchi gn
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Maestro card haifanyi online purchase Mzee naish Kama mgeni bado sijawa na swedish social security number so bado sijawa na card inayoweza kununua kitu online..hiyo nafanya manunizi kwenye shopping stores zilizo na maestro symbol kwa kutumia card yangu mkononi... hahahahah
 
Doh nilikua sijui basi kama hivyo kumbe jamaa haitamsaidia hata akipata info zote
 
Serious haujui?

Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.

As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.

Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.

So kama Meneja Wa Makampuni ana⁶weza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Mkuu,sio rahisi kama unavyofikiria.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom