Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Mkuu kwema. Ninaomba unicheki PM. ShukraniWaambie Mkuu,ila subiri povu lao sasa.
Mkuu kwema. Ninaomba unicheki PM. ShukraniWaambie Mkuu,ila subiri povu lao sasa.
Bora kuwa mtumwa kwa ngozi nyeupe kuliko kuwa mtumwa kwa ngozi nyeusi mwenzako.😂😂Siwezi kuwa mtumwa wa ngozi nyeupe nitafia Tanzania huo upuuzi ctaki.
Kwema Mkuu,samahani mkuu sijawahi kutumia PM hata mara moja! Weka hapa mkuu.Mkuu kwema. Ninaomba unicheki PM. Shukrani
Mkuu,tunatofautiana,hata hiyo 100M ambayo wewe unaona ni nyingi,kuna mtu anaiona ndogo,kila mtu na kiwango chake,hatuwezi kufanana.sasa hyo 21milionis ndy ya kupost viza cards na balance aliyonayo bank?
angekuwa na 100 milioni si angepost sehem zake za siri kabisa?
Pia kuna OTP number unatumiwa kwa namba yako ya simu,ili uweze kufanya transaction,so hapo lazima uwe na simu yako mkononi yenye namba uliyosajilia Bank.Vp kuhusu address ya card holder?! Alafu siku hizi ukifanya manunuzi makubwa online bank wanakutumia notification.
Ni jambo private kidogo. But never mind.Kwema Mkuu,samahani mkuu sijawahi kutumia PM hata mara moja! Weka hapa mkuu.
Aisee ukijua bank account ya mtu unanunua vitu mtandaoni jaribu uone kama ni simple hivyo..Serious haujui?
Ingawa sidhani kama kweli anaweza kufuta ila mfano ni kweli amefuta this means anaweza kuilink hiyo akaunti na manunuzi ya mtandaoni.
As manunuzi yanayohitaji taarifa za credit card au debit card yanahitaji namba ya akaunti ambayo hiyo hapo ipo wazi, yanahitaji expire date ya ATM card ambayo hiyo hapo ipo wazi na yanahitaji CVC.
Hiyo CVC jamaa ndiyo kaificha.
So kama Meneja Wa Makampuni anaweza kuiondoa hiyo rangi means anaweza nunua vitu online kwa kadi ya mleta uzi.
Online shopping bongo imechelewa Mkuu ndio maana unaona tunaandika vitu vya ajabu ajabu...Stori za kijiweni hzo unadhani pesa n rahisi hvyo Yan niokote kadi ya bank fasta niende online kufanya manunuzi eti kisa zile details za kadi unaziona.
Bank sio wajinga Kama watanzania ingekuwa hvyo maisha yangekuwa marahisi Sana.
Kuna zaidi ya taarifa zinatakiwa zaidi ya maelezo ya nje ya hyo kadi.
[emoji849][emoji849][emoji849]🥱🥱🥱1) Tunapenda kuja huko lakini tukiwaomba mtusaidie mbinu mlizofanikishia mnatukwepa na kutupa 'execuses'. Mliopo huko hamtaki nasisi tuje, hapo unajitapa kwakuwa umejificha kwenye kicharazio.
2) Vijana wote tukiwa na mawazo ya kukimbia matatizo badala ya ufumbuzi, nani ataijenga nchi ?
Kwamba angeweka kizuizi then angepiga picha.. je ungeweza kufuta?Ndio aache kushare hizo confidential information. Yeye anajua ameficha kitu hapo.
Kwa Bongo Kusave 6 Million kwa mwezi inawezekana sema kwa level za Ma-MD na CEO's sio kazi zetu hizi nyingine.Vipi nyingi au kidogo?
Hahahahahahah mvumilie kaka; Tanzania chuki inaua uchumiMkuu huyo ni ya miezi miwili nikipost ya mwaka mzima si utakalia chupa kwa Wivu..!!hahaha
Ameisha pata ajira😄😄
Sasa vijana waje au wasije? 😁😁
Siyo kweli, umewahi fanya manunuzi online? Tuanziw hapoStori za kijiweni hzo unadhani pesa n rahisi hvyo Yan niokote kadi ya bank fasta niende online kufanya manunuzi eti kisa zile details za kadi unaziona.
Bank sio wajinga Kama watanzania ingekuwa hvyo maisha yangekuwa marahisi Sana.
Kuna zaidi ya taarifa zinatakiwa zaidi ya maelezo ya nje ya hyo kadi.
Mwanzo hua ni mgumu ila mambo yakikaa sawa inakua poa tu,
Sasa vijana waje au wasije? 😁😁
Nimemuuliza tu waje au wasije 😁Mwanzo hua ni mgumu ila mambo yakikaa sawa inakua poa tu,
So,usimuhukumu kwa past,maisha hubadilika.