Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,274
- 4,512
Wazee wa kuhamisha magoliMleta uzi ni mjivuni tu hana msaada hapo utakuta hata nyumba kwa mama ake hajajenga analeta sifa kwenye keyboard 🤣🤣
Wazee wa kuhamisha magoliMleta uzi ni mjivuni tu hana msaada hapo utakuta hata nyumba kwa mama ake hajajenga analeta sifa kwenye keyboard 🤣🤣
Ok haya sawa chiefFrom my experience! Sites zinadai address + card holder name
Tusihamishe hoja ....jamaa kaleta hoja yenye mashiko tuitumie tuache kuhoji vitu ambavyo havitatusaidi.Wazee wa kuhamisha magoli
Doh nilikua sijui basi kama hivyo kumbe jamaa haitamsaidia hata akipata info zote
Unataka nikufunfishe, nataka Mimi nimwonyeshe mleta uzi, ili siku nyingine ajifunze.Unafutaje mkuu
Mkuu huwez fanya Chochote nakutumia kadi yoteUnataka nikufunfishe, nataka Mimi nimwonyeshe mleta uzi, ili siku nyingine ajifunze.
Najua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.
Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz
Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.
Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,
UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.
View attachment 1911080View attachment 1911081
hahaMkuu huwez fanya Chochote nakutumia kadi yote View attachment 1911246
Fact [emoji817]Uvivu,Wivu ,fitina ,roho mbaya na ulimbukeni vinatufanya wabongo tuzidi kuwa mafala wa ulimwengu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka nikanyage Burundi kwanza
Sio kwamba kuendelea kula vumbi tunapenda mkuu tupe namna ya kufika hapo ulipofika kama hutojaliNajua wazee wakutuponda team box FC wazee wakago a.k.a wabeba boksi mpo na mmejipanga vyema kushambulia Uzi huu kwa makombora mazito Kama bwana Hamza Mzee wa salenda bridge.
Lakini ukweli utabaki kuwa hapo bongo kwa sasa hivi pamekuwa kama tanuru la moto kwa vijana na Cha ajabu jitu Lina miaka 28-35 utakuta limemaliza midigrii yake na mi masters na job ni za hovyo afu bado Lina ndoto za kutoboa kirahisi hapo ukweli mchungu ni kwamba hizo ni ndoto za abunuwazi sababu kutoboa bongo sahiv imekua bahati na sio kwa kutegemea mipango na maarifa havita tusaidia Chochote ndani ya Tz
Mama Hana huruma na tawala za kiafrika hazinaga huruma kwa raia katika kutekeleza maazimia Yao.
Imagine mtu ndani ya miezi mitatu minne naweza save 80k SEK baada ya mahitaji yangu muhimu na bills zote,
UGHAIBUNI pesa ipo nyie endeleeni kuleta ubishi wa kung'ang'ania msipopendwa.
View attachment 1911080View attachment 1911081
Kama hutojali mkuu nifanye nini ili na mimi niwe mbeba boxWaambie Mkuu,ila subiri povu lao sasa.
Do u mean 6 million??Yani Mkuu umezidi watu wengi hapa bingo kwa mwezi una save 6-7M
Vipi nyingi au kidogo?Do u mean 6 million??
Mleta mada mbona hapa hujanijibu?Hongera mkuu, ingependeza ukaweka mchanganuo namna unavyolipwa salary yàko, ni kwa week au mwezi?
•Makazi unalipia kiasi gani? Na Kwa week/mwezi?
•Gharama za chakula kwa siku?
•Gharama za Usafiri?
Na mwengine madogo madogo.