No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,377
- 13,444
Unaweza ukakuta kuna chamber zpo...nazitafuta kwelNashangaa
Unaweza ukakuta kuna chamber zpo...nazitafuta kwelNashangaa
Mmh kazi ipo, uchawa kipajiHata enzi za MKapa wakati pesa ni ngumu watu walijenga.
Tutajenga tuu kwani so kila kitu kimepanda,kwa hiyo pesa ya kuongezea itatoka kwenye vitu vingine.
Mkuu kwa maisha ya Tanzania nyumba ndo kitu cha kwanza cha muhimu usipoona umuhimu wake sasa hivi utakuja kuona kipindi una watoto wakubwa na wajukuu na huna pakukaa.tajenga tuuuu zitakuja bidhaa mbadala kwenye ujenzi ..kijijini tumekulia nyumba zilizojengwa kwa mawe na kuwekewa mota ya udongo
1. Wengine wanawaza kujenga nyumba ndo mafanikio
2. wngine wanawaza kuoa/olewa ndo mafanikio
3. wengine leisure time ....kusafiri maeneo yenye vivutio mbali mbali
4. wengine wanawaza kuwa na umiliki wa biashara ....
5. wengine wanawaza bia tamu
6. etc
Nondo 22,000 wapi huko? Au za 8mm?1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Kwa nchi za kiafrika Kama Tanzania hasa katika majiji bado kumiliki ardhi na kuwa na nyumba ni kigezo cha kuanza safari ya kujikwamua kimaisha.tajenga tuuuu zitakuja bidhaa mbadala kwenye ujenzi ..kijijini tumekulia nyumba zilizojengwa kwa mawe na kuwekewa mota ya udongo
1. Wengine wanawaza kujenga nyumba ndo mafanikio
2. wngine wanawaza kuoa/olewa ndo mafanikio
3. wengine leisure time ....kusafiri maeneo yenye vivutio mbali mbali
4. wengine wanawaza kuwa na umiliki wa biashara ....
5. wengine wanawaza bia tamu
6. etc
Vingine no bei za mpito kwa sababu supply haijatengamaa huko DunianiAluminium kioo one way kimetoka 87 kwa shiti mpaka 160,000
Mafundi tunapata tabu Sana😁😁😁😁
Kwa Dodoma iko juu zaidi1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Hujui kitu wala maana ya cartels..Ndio tutaelewa sasa maana ya Cartels. Kichwa cha mwendawazimu
1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
HAPA KAMA UWEZO WAKO MDOGO WA KIFEDHA JENGA NYUMBA NDOGO SANA,VYUMBA VIWILI NA SEBULE TU1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
hizo ni bei za mwakajana ndugu,nondo gani inauzwa 22?1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Watoto wakubwa na wajukuu watakaa kwako ??Mkuu kwa maisha ya Tanzania nyumba ndo kitu cha kwanza cha muhimu usipoona umuhimu wake sasa hivi utakuja kuona kipindi una watoto wakubwa na wajukuu na huna pakukaa.
Hali ilivyo kwa sasa ni hora kupanga tu[emoji849]1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Hizo ni Bei za Dar. Ila kwa sisi wa Kahama1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Sasa kama umezeeka na hujajenga inabidi watoto wakulipie kodi na maisha ya watanzania watu wanazaa na huku wana wajukuu wakubwa tu au ww unaishi ulaya mke hayo hayapo huko.Watoto wakubwa na wajukuu watakaa kwako ??
Sasa huko bei ndogo hvyo chokoza bei huku niliko utatoka ndukiHatari sana