Lim Hoo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 452
- 1,130
Dah umecoment kitu kikubwa sanaMmh kazi ipo, uchawa kipaji
Dah umecoment kitu kikubwa sanaMmh kazi ipo, uchawa kipaji
We jamaa ungekuwa jirani hapa ungekunywa fanta ..nimecheka balaa...Lasivyo utakuwa unakula vizuri na kuvaa vizuri mjini ila jion ikifika unakuwa mpole chini ya mwamba mmoja.
Mie nimenunua 26,500/= nondo 26 nashangaa kuambiwa 22Nondo ya 22k wap mkuu...huku kigamboni wanauza 26k..nipe hyo location
Sio powaa kakaa nishidaa... Kujenga Moyoo😂😂😂We jamaa ungekuwa jirani hapa ungekunywa fanta ..nimecheka balaa...
Halafu utakuwa umejenga
Tutajenga tu mbona simpo kabisa!! Miaka ya 90s bei zilikuwa hizo? Mbona wamejenga kwanini tushindwe?1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Ndio namuuliza jamaa hizo za 22k ziko wap..elfu 4 nzima hapo unasave...Mie nimenunua 26,500/= nondo 26 nashangaa kuambiwa 22
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
... Mkuu Bome-e kwenye ule uzi mwingine katuhabarisha bei ya nondo (12mm) sokoni leo ni TZS 30,000/=. Hiyo bei ya 22,000/= umeitoa wapi?1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Hujapata manunuzi tu mpaka leo?Kama bei ndiyo hizo nauza kiwanja changu kipo kibaha
Bado. Halafu nipo Dar wiki hii ndiyo vizuri mteja nimuonyeshe eneoHujapata manunuzi tu mpaka leo?
Cement huku Ruvuma ni shilingi 2400 hadi 260001. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Hii nondo ya 22k inauzwa wapi?1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?