Vijana mtajenga kweli kwa bei hizi?

Vijana mtajenga kweli kwa bei hizi?

Inachangamsha akili ,kila mwenye akili timamu anawaza namna ya kuongeza kipato,
Ukilalamika bei kupanda wewe, wengine wanashusha mijengo ya hatari
Kuna Jamaa hapa Kinondoni kanunua nyumba zile za zamani 250m kaipiga chini, sasa hivi hata wiki mbili hazijafika wanamwaga zege ghorofa ya kwanza, anajenga apartments.
 
1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Huku kwetu cement ni 23000/=
 
1. Nondo 22000 kutoka 16000
2. Cement 15000 kutoka 12500
3. Dirisha Aluminium 5*6, 380000 kutoka 250000.
4. Bati Alaf 45000 kutoka 33000.
Hizo ni bei za Dsm sasa sijui kule Mpimwe na Ngarenanyuki hali ikoje?
Kwetu nondi 25000
Cemeny22000
Bati, 25000
 
Kuna Jamaa hapa Kinondoni kanunua nyumba zile za zamani 250m kaipiga chini, sasa hivi hata wiki mbili hazijafika wanamwaga zege ghorofa ya kwanza, anajenga apartments.
Hao ni wachache kati ya wengi
 
Kuna Jamaa hapa Kinondoni kanunua nyumba zile za zamani 250m kaipiga chini, sasa hivi hata wiki mbili hazijafika wanamwaga zege ghorofa ya kwanza, anajenga apartments.
Yaani Kuna watu ukiwaambia maisha magumu na yamepanda wanakushangaa,
Vilio vya ugumu wa maisha ni kwa baadhi tu
 
Back
Top Bottom