Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

Vijana mmeona chakula cha role model wenu? CR7

Mbona ni tajiri, inakuaje anakula chakula simple hivyo kama cha uswahilini?
 
Mtu anabeba zege kutwa mzima halafu ale maharage na samaki kisa tu ni fans wa Ronaldo sio kweli.

Wakati mwingine kazi tunazozifanya ndo zinatufanya tule msosi wa maana

Msosi wa mtu anaefanya kazi ya uchimbaji au ujenzi hauwezi kufanana na mtu ambae anaefanya kazi ofisin au dukani

Binafsi kwenye kitu ambacho Sina masihara nacho ni suala Zima la msosi
 
Back
Top Bottom