Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,593
Wapo matajiri ambao wanakula hizo chipsj, soda n.k. Sometimes ni hulka ya mtu tu haiusiani na kipato kikubwa au kidogo, sema ndio hivyo tajiri akifanya chochote anasifiwa. Huyo ronaldo angepost hizo chipsi, burger, piza n.k bado ungemsifia tu kwamba huo ndio msosi wa wenye helaRais Dr.Kenneth Kaunda wa Zambia alikuwa vegetarian na kwa sehemu kubwa mlo wake simple kabisaa. Hata Julius Nyerere msosi wake simple mnooo:uji kwa mihogo, au chai maziwa kwa mihogo.
Sasa kutana na mimi wa kipato cha buku 7 ya Lumumba kwa siku. Nalazimisha kufakamia supu, chipsi, salty drinks, na pombe za bei kali.